Ama kweli hatuna serikali,tumeona jinsi nchi mbalimbali zinavyohangaika kuwatoa raia wake Libya,kenya wametuma hadi ndege!Tanzania ni kimya!ina maana hakuna wtz huko??au mtz hana thamani hata akifa??ni wakati wa kuweka serikali itakayothamini wtz hii imeshindwa,leo hii mtz ni kama takataka hata akifa ndo maana police wanawapiga wananchi risasi wananchi kama swala wa serengeti