Watanzania waliopo libya vipi??

mtemiwao

JF-Expert Member
Sep 5, 2010
384
46
Ama kweli hatuna serikali,tumeona jinsi nchi mbalimbali zinavyohangaika kuwatoa raia wake Libya,kenya wametuma hadi ndege!Tanzania ni kimya!ina maana hakuna wtz huko??au mtz hana thamani hata akifa??ni wakati wa kuweka serikali itakayothamini wtz hii imeshindwa,leo hii mtz ni kama takataka hata akifa ndo maana police wanawapiga wananchi risasi wananchi kama swala wa serengeti
 
Mbu,hiyo link nilishaiona lakini utaona tofauti,wakati wenzeti(kenya) wanatuma ndege kuchukua watu wao,Tanzania haijui hata ni wtz wangapi wapo Libya,ina maana nn kazi ya wizara ya membe?ndani ya vurugu ndo wanataka kufanya sensa?TAFAKARI
 
Kama hao wambagala wamekufa na hata bado wanazikwa wengine mahututi ICU wameweza kusafiri na kuendelea na mabo mengine itakuwa hao wa Libya?? watu wanalala wakichungulia nje ya nyumba wanaliona bomu ambalo limeua ndugu zao humohumo ndani ya nyumba kutolewa ni ishu sijui tunaenda wapi jamani, kwa kifupi naionea huruma Nchi yangu
 
Back
Top Bottom