Ngorongoro na Loliondo ni Emirates za uarabuni

Moyo wa nchi

Member
Jun 21, 2023
81
127
Tulitakiwa kushtushwa na mikataba ya Loliondo na Ngorongoro kabla ya huu wa bandari.

Maeneo hayo ameshapewa mwarabu bure kabisa, Masai wamefukuzwa na wanafukuzwa japo walikataa na wanakataa.

Kwa namna serikali hii ilivyo ni lazima kutakuwa na mauaji ya raia ktk maeneo hayo.

Wabunge wa umoja wa ulaya wamezuiwa kufika maeneo hayo na Sasa ni CHADEMA lkn ukweli ni kwamba haruhusiwi kuingia mtu yeyote bila kibali cha mwarabu.

Mh. Lissu usiwe mkorofi hiyo ni nchi ya waarabu ndani ya TANGANYIKA kwa nini upeleke siasa zako kwenye nchi ya waarabu?.

Fuata sheria kaombe kibali Dubai mama alishafungua nchi na kuupiga mwingi.
Soon na dar es salaam itakuwa sehemu ya falme za kiarabu, Hawa watu wameamua hawarudi nyuma.

Tukiendelea na mbinu zile zile zilizoshindwa tumekwisha.

Pia kwa wale wenye kumbukumbu na mwanzo wa mikataba ya kuuzwa loliondo na ngorongoro kipindi cha raisi mwinyi Ili vijana waelewe vizuri hili sakata.

Hakika huyu mama atatumaliza, ninaandika nikiwa na machungu sana.
 
Hayo maeneo wengi wameamka sasa baada ya kuona ubovu uliopo kwenye ule mkataba wa bandari, ndio wakajua nini kilisababisha Ngorongoro na Loliondo navyo viondoke mikononi mwa watanganyika.

Hawa viongozi walioamua kutoa hiyo mikataba kwa waarabu ni wapuuzi kupita maelezo, hawajitambui, wabinafsi na wajinga wanaoigeuza ardhi ya Tanganyika kama keki yao wanayoweza kumgawia kipande yeyote wampendaye, ni wazi wameonesha kabisa vichwa vyao havina kitu ndani, hasara tupu.
 
Tulitakiwa kushtushwa na mikataba ya loliondo na ngorongoro kabla ya huu wa bandari.

Maeneo hayo ameshapewa mwarabu bure kabisa, masai wamefukuzwa na wanafukuzwa japo walikataa na wanakataa.
Kwa namna serikali hii ilivyo ni lazima kutakuwa na mauaji ya raia ktk maeneo hayo.

Wabunge wa umoja wa ulaya wamezuiwa kufika maeneo hayo na Sasa ni CHADEMA lkn ukweli ni kwamba haruhusiwi kuingia mtu yeyote bila kibali cha mwarabu.

Mh. LISSU usiwe mkorofi hiyo ni nchi ya waarabu ndani ya TANGANYIKA kwa nini upeleke siasa zako kwenye nchi ya waarabu?.

Fuata sheria kaombe kibali Dubai mama alishafungua nchi na kuupiga mwingi.
Soon na dar es salaam itakuwa sehemu ya falme za kiarabu, Hawa watu wameamua hawarudi nyuma.

Tukiendelea na mbinu zile zile zilizoshindwa tumekwisha

Hakika huyu mama atatumaliza, ninaandika nikiwa na machungu sana.
Mnatuongezea HASIRA
 
Hayo maeneo wengi wameamka sasa baada ya kuona ubovu uliopo kwenye ule mkataba wa bandari, ndio wakajua nini kilisababisha Ngorongoro na Loliondo navyo viondoke mikononi mwa watanganyika.

Hawa viongozi walioamua kutoa hiyo mikataba kwa waarabu ni wapuuzi kupita maelezo, hawajitambui, wabinafsi na wajinga wanaoigeuza ardhi ya Tanganyika kama keki yao wanayoweza kumgawia kipande yeyote wampendaye, ni wazi wameonesha kabisa vichwa vyao havina kitu ndani, hasara tupu.
Hivi ni kweli huyu mama anashauriwa vibaya?
 
Sasa nimeanza kuelewa kwanini Hemedi alijiita PhD.
Shit heads zikafanye makubaliano msipigwe !!
Awamu hii waarabu wametupatia saiti wanatugonga kweli kweli, na mama hajali kitu amelewa madaraka anajua hata akitoka madarakani hashtakiwi kwa lolote na likatiba hili la hovyo basi ni kuuza Mali zetu kwa manufaa yao na familia zao huku wananchi mazombi tunachekea tu.
Inauma sana
 
Umezaliwal lini? Hukuwepo wakati Loliondo inauzwa na wakati huo Zenji imejiunga na OIC? Gazeti la kwanza kuripoti habari hii (Motomoto) lilifungiwa maisha na mmiliki wake kuwawa (RIP Stan Katabalo)? Ukiingia kule na simu unakutana na maandishi WELCOME TO UAE..!!
Nashukuru kwa kujibu vyema mkuu hope ameelewa
 
Hivi ni kweli huyu mama anashauriwa vibaya?
Hata kama anapewa ushauri mbaya, akashindwa kuona ubaya wake, basi yeye ndie mjinga, hapo wasilaumiwe washauri.

Huyu mama yenu ana upendeleo wa wazi kabisa kwa waarabu, anayofanya sasa ni kuonesha kwamba anatumia nafasi yake kuwafurahisha ndugu zake huko Arabuni kwa kuwapa rasilimali zetu kama ni mali yake binafsi.
 
Back
Top Bottom