Kuna mwengine alipanda daladala akasifiwa sana kwa kitendo kile.
Ongezea na kunywa uji kwa mama ntilie na maji ya viroba. Yule fisadi Lowassa nilitamani kweli angeenda kulala hata siku moja pale Segerea. Sijui kwanini aliogopa😅😅
Kuna mwengine alipanda daladala akasifiwa sana kwa kitendo kile.
Nani ana mvuto wa urais? Lowassa! Yule anayejinyea? Yule ambae kupanda ngazi mpaka ashikwe makalio? Yule ambae mke wake amepigwa dole na mmoja wa vijana wa UKAWA baada ya kuiva kwa viroba?
Mmmh! Ikiwa mtu wa aina hiyo ndio angekuwa rais, basi ningeomba uraia wa Somalia kama sio Burundi. Bora nikapigwe risasi tu kuliko kuongozwa na mgonjwa, fisadi na mtu anayejinyea hovyo.
Naelekea kukufananisha na ng'ombe akili yako.
Bila kufika muhimbili angejuaje kuwa kunawagonjwa hawajapata matibabu zaid ya miez miwili?
Angejuaje kama hakuna vifaa kwaajili ya vipimo?
Angejuaje kuwa wafanyakaz wa hazina wanaenda kunywa chai zaid ya masaa 3?
Acha unafik wa kijinga kama inakukera jinyonge utupunguzie idadi ya wajinga
Wewe si ukuwa shbiki nama ma wa Lowasa? ahta alipoham ulimfuata Chadema? Na ulikuwa unatoa nyuzi nyingi za kutokubakliana na wale wanaomsema vibaya? Umebadilika lini?
Naelekea kukufananisha na ng'ombe akili yako.
Bila kufika muhimbili angejuaje kuwa kunawagonjwa hawajapata matibabu zaid ya miez miwili?
Angejuaje kama hakuna vifaa kwaajili ya vipimo?
Angejuaje kuwa wafanyakaz wa hazina wanaenda kunywa chai zaid ya masaa 3?
Acha unafik wa kijinga kama inakukera jinyonge utupunguzie idadi ya wajinga
Nani ana mvuto wa urais? Lowassa! Yule anayejinyea? Yule ambae kupanda ngazi mpaka ashikwe makalio? Yule ambae mke wake amepigwa dole na mmoja wa vijana wa UKAWA baada ya kuiva kwa viroba?
Mmmh! Ikiwa mtu wa aina hiyo ndio angekuwa rais, basi ningeomba uraia wa Somalia kama sio Burundi. Bora nikapigwe risasi tu kuliko kuongozwa na mgonjwa, fisadi na mtu anayejinyea hovyo.
Hivi nikweli magufuli hajawahi fika Muhimbili ktk maisha yake yote hajui wala hajawahi sikia habari za MOI? inawezekana hujamwelewa mtoa mada. Mtoa mada anatutaka tuwe na analytical thinking, deep and broad understanding na sio kukurupuka na kuanza kutoa misifa, kaa angalia mwelekeo, msome mtu usilete ushabiki wa kisiasa mtaendelea kupigwa dont play with politicians because they real know how to play with your mindset.
Minadhani wewe ndo mnafiki na mjinga namba moja na kibaya zaidi hujielewi kwamba uko hivyo na watu wa aina hii hata bata anaweza kuwatawala
Yaani kwa kweli mi ninapoangalia hali ya uchumi wa Tanzania, maisha duni ya wafanyakazi, ukisefu wa ajira ukosefu, wa maji safi ni salama karibia nchi nzima!
Namshangaa sana mtu anayemshabikia Mr Pombe kutembea na vyombo vya habari kwenye maofisi!
Kwanza jiulize huko kote alikovamia amehoreshaje mazingira ya utendaji wa wafanyakazi ili kuwapa morally ya kufanya kazi?
Hizi sio zama za dictatorship style ni zama za democratic leadership ambapo ku win minds za wafanyakazi ni kuwatendea vile inavyopasa na sio kuwakimbiza na viboko.
Tanzania tunahitaji kuona wanafunzi wa vyuo vikuu wanapata mikopo yao kwa ufasaha na kwa utoshelevu.
Tunahitaji kuona wafanya biashara wadogowadogo wakiboreshewa mazingira ya kazi..mfano mama ntilie na bodaboda na machinga,
Tunahitaji kuona wakulima ambao ndo uhai wa Taifa wakiboreshewa zana za kilimo na mbolea.
Tunahitaji kuona michakato ya viwanda ikianza.
Tunahitaji kuona waalimu wakiimarishiwa mishahara yao pamoja na kulipwa malimbikizi yao.
Tunahitaji kuona jiji la Dar likiokolewa kuondoka na uchafu unaosababisha vifo vya watanzania kila kukicha.
Nina mengi sana lakini ngoja nitulie kwanza, hebu jiulize vijana hawana ajira iko wapi mikakati ya viwanda?
Huko Muhimbili mkurugenzi anasimamishwa kazi wakati tunaona madactari wanagoma kwa mishahara duni iko wapi mikakati ya kuwaboreshea mishahara yao ili kuwapa ari ya kufanya kazi?
Mi nadhani cha kufanya kwa sasa kuboresha kwanza mazingira ya kazi alafu kazi ya usimamizi itakua nyepesi.
" Ukitaka Punda akubebee mzigo vizuri bila kipigo mpe majani na maji ashibe"
Hayo yote uliyoyaorodhesha yanawezekana kwa waliokabidhiwa dhamana kuwajibika .ebu kumbuka kwa utawala uliopita ni ngazi ipi amri zake zilitekelezwa ,si waziri,bunge hata rais hakuna aliyezingatia ni kulalamika tu toka rais hadi raia.ziara zake ni muhimu na ziambatane na hatua kama muhimbili kutoa ujumbe kwa wote nini anataka.watu hawajali wajibu wao wanajifikiria wao .rais akiwa dhaifu na serikali yote.namuomba rais pia apige marufuku ziara zisizo na tija katika halmashauri.Yaani kwa kweli mi ninapoangalia hali ya uchumi wa Tanzania, maisha duni ya wafanyakazi, ukisefu wa ajira ukosefu, wa maji safi ni salama karibia nchi nzima!
Namshangaa sana mtu anayemshabikia Mr Pombe kutembea na vyombo vya habari kwenye maofisi!
Kwanza jiulize huko kote alikovamia amehoreshaje mazingira ya utendaji wa wafanyakazi ili kuwapa morally ya kufanya kazi?
Hizi sio zama za dictatorship style ni zama za democratic leadership ambapo ku win minds za wafanyakazi ni kuwatendea vile inavyopasa na sio kuwakimbiza na viboko.
Tanzania tunahitaji kuona wanafunzi wa vyuo vikuu wanapata mikopo yao kwa ufasaha na kwa utoshelevu.
Tunahitaji kuona wafanya biashara wadogowadogo wakiboreshewa mazingira ya kazi..mfano mama ntilie na bodaboda na machinga,
Tunahitaji kuona wakulima ambao ndo uhai wa Taifa wakiboreshewa zana za kilimo na mbolea.
Tunahitaji kuona michakato ya viwanda ikianza.
Tunahitaji kuona waalimu wakiimarishiwa mishahara yao pamoja na kulipwa malimbikizi yao.
Tunahitaji kuona jiji la Dar likiokolewa kuondoka na uchafu unaosababisha vifo vya watanzania kila kukicha.
Nina mengi sana lakini ngoja nitulie kwanza, hebu jiulize vijana hawana ajira iko wapi mikakati ya viwanda?
Huko Muhimbili mkurugenzi anasimamishwa kazi wakati tunaona madactari wanagoma kwa mishahara duni iko wapi mikakati ya kuwaboreshea mishahara yao ili kuwapa ari ya kufanya kazi?
Mi nadhani cha kufanya kwa sasa kuboresha kwanza mazingira ya kazi alafu kazi ya usimamizi itakua nyepesi.
" Ukitaka Punda akubebee mzigo vizuri bila kipigo mpe majani na maji ashibe"
Maigizo ya magufuli ni kujaribu kuwin akili za watanzania. Anajua hapendwi na hana mvuto wa urais. Kwa hiyo haya maigizo ni mwendelezo uleule wa mambo ya Kinana. Subiri uone. hafiki popote. Huwezi kuwin utendaji bora kwa watumishi kwa kuwatisha. n akuwavamia ghafla> JE ATAKUWA ANAVAMIA MUHIMBILI KILA SIKU ILI KUHAKIKISHA WATU WANAFNYA KAZI? hAYA NI MAMBO YA KIZAMANI!