Watanzania tujipongeze kwa kuadhimisha miaka 50 ya uhuru wa tanganyika

MAFILILI

JF-Expert Member
Apr 28, 2011
2,377
1,194
Wananchi wenzangu pasipo kujali itikadi za vyama tuwe wamoja na kuunga mkono serikali iliyopo madarakani, tufanye maandalizi ya nguvu katika kuelekea tarehe 9, Disemba 2011. Wana CDM tuwe mstari wa mbele kusherekea miaka 50 ya uhuru, tuandae magwanda yetu tuende tukalale uwanja wa UHURU tarehe 8, Disemba 2011. CDM tumefaidika na uhuru wa nchi hii kupitia uongozi imara wa CCM ambao unapatia ruzuku kila mwezi ambayo inatuwezesha kumlipa milioni 12 za kitanzania kila mwezi Dr. Slaa pasipo kukatwa kodi. HIMA, HIMA, CDM twendeni kushiriki sherehe za uhuru miaka 50!!!!
 
Kama usingetumia kiswahili ningelihisi ww ni mcongo,unataka watu wasiwe na itikadi wakati ww mwenyewe uko kiitikadi

Tanganyika ipi isiyo exist?uhuru gani usiyoleta maendeleo ama umesahau kuwa tunaupima uhuru kwa maendeleo freedom and development are insperable dimesions
 
Labda hauna macho ama wajifanya kipofu na kutoona maendeleo yaliyofikiwa.

Kwa ufupi sana tu:

1. Elimu; idadi ya shule na vyuo kuongezeka
2. Idadi ya barabara zenye lami kuongezeka
 
Back
Top Bottom