Watanzania tujifunze na hii kesi

mukizahp2

JF-Expert Member
Jul 28, 2012
706
377
The Metropolitan policeman who struck and pushed Ian Tomlinson as he walked away from riot officers on the fringe of the G20 protests in London has been sacked with immediate effect after a disciplinary hearing found he had committed gross misconduct.
It was "inconceivable" that Simon Harwood, who was cleared of Tomlinson's manslaughter in July following one of the most high-profile cases of police misconduct in recent years, could ever work as a police officer again, the three-strong panel ruled.
background......kwa wasiojua kesi hii,huyu polisi simon harwood alimsukuma huyu jamaa ian tomlinson kwenye maandamano ya G20 , The Group of Twenty Finance Ministers and Central Bank Governors (also known as the G-20, G20, and Group of Twenty.yalikuwa maandamano makubwa na yenye vurugu yaani waandamanaji ndio wenye vurugu,sasa huyu polisi akamsukuma huyu jamaa, huyu jamaa IAN baadae akafa,sasa ndio kasheshe likaanza,yaani ingekuwa ni huko kwetu tusingesikia kitu maana kungekuwa hakuna mtu yoyote angeuliza ilikuwaje,ila hawa jamaa walimpeleka yule polisi mahakamani baadae ikaonekana IAN alikuwa na ugojwa flani wa moyo,lakini police wamemfukuza kazi police mwezao sababu alitumia nguvu kumsukuma jamaa
huku uk kuna ipcc The Independent Police Complaints Commission (IPCC) is a non-departmental public body in England and Wales responsible for overseeing the system for handling complaints made against police forces in England and Wales.
Yaani kila kitu ambacho police wanafanya hawa jamaa ipcc wanafuatilia kuona ukweli wake,sasa chombo kama hiki ndio tulikuwa tunakiitaji hapa nyumbani kwetu TZ,
Mwisho yale mauaji ya wananchi yanayofanywa na police TZ ,Inabidi waziri,mkuu wa polisi na ma RPC waliohusika wote wajiuzulu
 
Back
Top Bottom