Watanzania tufike mahali tuachane na Kura ya Siri.... Tupige Kura ya wazi ni Nani tunamchakua.

STEIN

JF-Expert Member
Aug 29, 2010
1,770
553
Wana JF,

Nina sababu kwa nini nasema tuachane na Kura ya Siri, bali tupige kura ya Wazi.

1. Kwanza itapunguza Rushwa kwenye Uchaguzi.
2. Tuatapungaza sana Vilaza kwenye uwakilishi wa Wananchi, mfano jana nilifuatilia mchakato wa kujieleza tangu mwanzo hadi mwisho na nilitegemea ushauri wa Dr Mwakyembe ungezingatiwa.
3. Kuwafanhamu hawa watu ambao huwa wanaharibu kura, ni jambo la kusikitisha wabunge wanaharibu kura 16, hao tungeenda hata kuwapinga mahakamani kwa kupoteza uwakilishi wa majimbo yao na watu wao wanaowawakilisha.
4. Tutapunguza wizi wa Kura na Kesi za kupinga matokeo maana hukumu inakuwa wazi kwa upande wa wananchi.

Najua CCM watalipinga sana hili kwa kusema hakuna mfumo kama huo duniani, lakini kwa tulikofikia unafaa.
 
Waulize wabunge km ccm watapinga...pangekuwa na kura za maoni upinzani usingekuwepo hapa.

Wabunge wote walikuwa wakifundwa na Pinda kabla bunge halijaanza.Wale wapiga mayowe ndani mule ni kwa vile wanaonekana au wataonekana baadaye ktk replay ya cctv.Wabunge wote wa CCM wana modetors kwa kila kitu wasikiumize chama.Wanaadhibiwa kutokana na miongozo ya chama.

CDM wanaringia huo usiri kwa vile wanajua zikipigwa kwa siri coward magamba watajificha humo.mara zote wamekuwa wakiwaambia CCM km kura ni siri wasijiaminishe kuwa kwa vile wana wabunge wengi basi watashinda umeya Arusha pinda akanywea.Alinywea kwa vile alipewa mfano hai wa halamashauri walioshinda wakiwa na madiwani wachache.Hata wewe mwenyewe ukiwa na jamaa yako unahisi ana moto na si mwangalifu, halafu anakaribia mpata mwanamke uanyeamini katulia na najiheshimu, ukajaribu mwambia jama amweleze huyo binti au atafute namna ya kumlinda hakutaka kuwa responsible,ila nataka wewe ndio umsaidia fanikish azoezi la yeye kwenda muua mwenzie na ukimbwangalia unaona si mtu rahisi mhandle.Sidhani km utakuwa mmojawapo ya wachache wanaoweza mharibia jamaa hdharani bika hofia urafiki au mabavu yake.

Kura kufichwa kunampa mtu uhuru wa kupeleka mawazo yake bila shinikizo,as log as kuna watu wengi na mpigaji akawa anaelewa nachofanya na afanye fairly bila mashinikiso ya kimazingiza.
 
rekebisha title. ni 'KUCHAGUA' siyo 'KUCHAKUA'

Wana JF, Nina sababu kwa nini nasema tuachane na Kura ya Siri, bali tupige kura ya Wazi. 1. Kwanza itapunguza Rushwa kwenye Uchaguzi. 2. Tuatapungaza sana Vilaza kwenye uwakilishi wa Wananchi, mfano jana nilifuatilia mchakato wa kujieleza tangu mwanzo hadi mwisho na nilitegemea ushauri wa Dr Mwakyembe ungezingatiwa. 3. Kuwafanhamu hawa watu ambao huwa wanaharibu kura, ni jambo la kusikitisha wabunge wanaharibu kura 16, hao tungeenda hata kuwapinga mahakamani kwa kupoteza uwakilishi wa majimbo yao na watu wao wanaowawakilisha. 4. Tutapunguza wizi wa Kura na Kesi za kupinga matokeo maana hukumu inakuwa wazi kwa upande wa wananchi. Najua CCM watalipinga sana hili kwa kusema hakuna mfumo kama huo duniani, lakini kwa tulikofikia unafaa.
 
tukiwa huru zaidi kura za wazi zitawekana,ial sasa vinyongo vitatisha.
 
Back
Top Bottom