ZeMarcopolo
Platinum Member
- May 11, 2008
- 14,017
- 7,220
- Thread starter
- #21
mkuu ... wewe uponyuma sana ...kuna groups nyingi sana za maendeleo zilizozaliwa humu JF na zinafanya kazi kwa kwenda mbele .... je umeshawahi kuisikia Jamii Empowernment Saccos (JE SACCOS) ambayo tayari imeshasajiliwa na ina offisi yake na members zaidi ya mia moja , je unajua Umoja Farm ambayo tayari ina shamba la mbuzi
Aliyekuwa nyuma ni wewe ambaye unachangia katika thread ambayo hujaielewa na unajifanya mjuaji.
JF kuna groups kama jinsi ilivyo facebook. Makundi hayo yana wanachama. Asilimia za waliojiunga katika kila kundi ni kama nilivyoainisha hapo juu. Hakuna kundi linaloitwa SACCOS.