epictanzania
Member
- Mar 11, 2006
- 21
- 9
Siku nyingi nilipotea nilikuwa shamba narafiki zangu Nyuki. Badala ya kukaa mjini nashauri wasomi tuanze kufikiria jinsi ya kuwekeza katika nyuki. Kuliko kuwa busy mjini na kinywaji ebu tuanze kuangalia namna ya kuzalizalisha asali.Ushauri ni bure maana ASALI ndo bidhaa pekee na maziwa ambayo MUNGU aliahidi watu wake.
Wabongo au tunasubiri Wachina waje waanze kufuga nyuki na sisi tuanze kulalamikia ujio wao. Wakati ni huu ASALI ni mali fikiria tani moja ya Asali ni pesa ya kibongo Miliion 3. Akuna kununua dawa wala kulisha nyuki, hakuna traffic wala nimechoka nyuki mtindo mmoja anafanya kazi kwa ajili yako.
Wenzangu mnaonaje baada ya kupotea nimegundua hilo baada ya miezi 4 anaye taka asali aje kwanngu ninayo tayari Je wewe vipi bado wataka kukaa mjini?