King’asti
Platinum Member
- Nov 26, 2009
- 27,823
- 24,786
Hapo kwenye malezi na 'attitude' ndo mpango mzima. Kijijini kwetu vyoo vya shimo ni visafi ajabu. Toka enzi nikiwa mdogo, unakuta watu main house sakafu haina cement bt chooni ipo,imesuguliwa haswaa japo ukuta umepandishwa wa udongo (unapigwa niru ya chokaa ama majivu. Kila siku asubuhi kazi ya mabinti kuzoa jivu kwenye mafiga na kwenda kumwaga chooni. Walijua inapunguza harufu na kuua inzi na wale wadudu wadogo.
Shule ya sec nimesoma,vyoo vya kukaa. J1 kuna ukaguzi wa mwl wa zamu na viranja. Tutasugua na majivu vinang'aa kama vipya! Kuna siku nilisimama kuingia toilets za mizani ya chalinze ile mpya. Haina hata 2 yrs. Kuna layer ya njano inakaribia weusi. Eti kuna msafishaji analipwa. Kweli wamama na wadada wanaofanya hapo mizani nyumbani kwao kutakuaje? Manake mie ningekua adui wa kwanza wa msafishaji ati! Hata afukuzwe kazi sitojali as long as hafanyi kazi yake sawasawa!

Cjui kama umenisoma mpendwa! Sijazungumzia rangi au utaifa..nisome tena vizuri unifahamu.Ukija kwenye public toilets ulimwenguni ni kweli zinakuwa chafu - KAMA HAZINA USIMAMIZI.
Je inakuwaje kwenye nyumba za baadhi ya watu tena wasomi wenye vyeo vyao huwezi kuthubutu kuingia vyooni mwao!