Watanzania na kasumba ya Kupuuzia na usindikizaji!!!!!

Sumba-Wanga

JF-Expert Member
Feb 2, 2011
5,349
1,224
Just thinking aloud! It all begins last week when the Tanzanian Queen in BBA, Ms. Bhoke was kicked out of the BBA! Lotus did the same, Simba did the same and the list is endless!

What is wrong with us? What is our comparative advantage? Ni nini tunachoweza kufanya vizuri? Siasa and Kisiwa cha amani (Arusha and Musoma wamebadilisha hii assumption)! Jamani what is wrong with us?

Sometimes I want to believe What Mtikila said, we Tanzanians need mental emanticipation!

Tuanzie wapi? Tumekosea wapi? Hata DRC wenye vita miaka kibao wanaweza kuwa na football team nzuri zaidi yenu?
Wakenya hadi wanasema Babu wa Samunge yuko kwao, Kilimanjaro kwao, Mh Maige umelala tu? What is wrong with us?

Miaka kibao tuna mgao wa umeme! Bado ahadi za kumaliza haziishi?
wazee/wastaafu wa EAC wanajifia.... no bady caresss
International watz tunajulikana kwa uzembe wakati wa kupitisha mijadala ya maana conference na umakini wa kwenda Shopping! Tunawasindikiza wenzetu, sisi shopping na ten %. This is our comparative advantege!

Jamani, hii culture a kusindikiza na kufanya things as usual inatupeleka pabaya! Hakuna wa kukemea lolote!

It is time sasa tuamke. Kila siku visingizio kibao!
Sisi kama Taifa tuna msimamo gani?
Tutakuwa wasindikizaji hadi lini? Tusipoangalia, hata watoto wetu watacopy na kufanya hayo kuwa maisha yetu,
 
hiyo Kasumba ya kupuuza mambo katufundisha mzee wetu, baba yetu kipenzi mzee Makamba.......

196514_196297573738009_100000733047937_565696_2633414_n.jpg
 
ukitazama yote hayo na ukisoma ile ripoti kuwa tanzania ndio nchi
ambayo watu wake wanaongoza kwa kuamini ushirikina duniani
ndio unaelewa
 
ukitazama yote hayo na ukisoma ile ripoti kuwa tanzania ndio nchi
ambayo watu wake wanaongoza kwa kuamini ushirikina duniani
ndio unaelewa
Tatizo la taifa hili ni moja, watu tunachukulia mambo fifty- fifty, just-just, hii ipo katika fani zoote, katika elimu, mpira , kazi na hata mapenzi.
Taifa hili ni kielelezo cha watu duni, watu wasiopenda kuzama katika fikra ili kupata ufumbuzi wa matatizo.
 
Mbaya zaidi, the current leadership unakumbatia tabia hizi za kurudisha nyuma maendeleo!
 
hiyo kasumba ya kupuuza mambo katufundisha mzee wetu, baba yetu kipenzi mzee makamba.......

196514_196297573738009_100000733047937_565696_2633414_n.jpg
mkuu umenichekesha mpaka nikastukiwa nachungulia jf na bosi wangu.hii picha ilishawekwaga humu ila nimeifungua tu nikakumbuka nikacheka sana.jamaa anaonekana mroho sana wa madikodiko.
 
Back
Top Bottom