Sir John Roberts
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 9,713
- 16,123
Kuna jamaa nilikua naongea nae muda mfupi uliopita kwa njia ya simu. Baada ya mazungumzo kabla hajakata simu nikasikia ujumbe " your call has been recorded " kutoka kwenye simu yake.
Nikajiuliza huyu mtu ana record mazungumzo yangu na yake kwa sababu gani? Hakukuwa na mambo ya maana sana tuliyokua tunaongea ila nimeshangaa tu kusikia kuwa ana record mazungumzo na hii si mara ya kwanza.
Mi nadhani ni ujinga tu kama huna la maana juu ya hayo mazungumzo huna sababu ya kufanya recording. Au labda urushe mitandaoni kuwa unaongea na fulani ili ikusaidie nini sasa? Foolishness