Elizabeth Dominic
Platinum Member
- Dec 7, 2007
- 4,555
- 3,649
Salaam Wakubwa
Naomba mawazo/mchango wenu katika kufahamu upekee wa Mtanzania ukifananisha na nchi nyingine duniani katika
Mazingira tunayoishi mf mitaa na jinsi watu wanavyosurvive maisha ya mjini
Kitu gani kina wainfluence/kuwavutia waTZ zaidi na je unapokuwa na washkaji kusocialize ni kitu gani uniquely Tanzanian unapendelea kufanya? Na je kwenye suala la mavazi, michezo kuna kitu cha pekee kinachoweza kututambulisha katika nyanja mbalimbali?