Hahahahaa, akipandishwa cheo anakataa?!!!!!Afande awadhi anastahili kuwa Aijipiii... Anajituma sana, hataki rushwa, haonei mtu, na akipandishwa cheo anakataa... Sio mtu wa kujikweza kabisa, safi sana awadhi.
Wewe wasema ( waandika)
Huyu ndo co namba mojaAwadhi noma aisee omba Mungu sikutane nae halafu uwe na kosa hata upige simu kwa IGP au No. 1 hakuachii. Big up afande maana unawafunza wanaojifanya wajanja mjini
huu uzi umeanzishwa na wenyewe afu wanajitekenya wenyewe...kazi kweliKuna kaharufu ka kumwombea cheo Afande Awadhi
Inawezekana ukawa sawa mkuu. Kutokana na ukubwa wa tatizo, ( magari ni mengi yenye kuvunja sheria kumzidi anayesimamia sheria ), utekelezaji wake unakuwa kiasi ni changamoto inayopelekea mhusika kubuni njia mbadala. Fikiria, kama inamchukua askari dakika 10-15 kumsomea mtuhumiwa kosa na kumuandikia fine, ni watuhumiwa wangapi watapita bila ya kupewa adhabu? Nadhani, anachofanya ni sahihi kwa wakati husika mpaka pale yule askari atakapoweza kuwa na nafasi (muda) wa kuwaandikia fine au kufuata utaratibu mwingine.Kuchomoa funguo sio sahihi.....
Kuwapiga fine ni sahihi
Ila watanuaji wanakeeeraaa
Kama alikuwa mwenyewe "inaeleweka" ingawa haipendezi....lakini wabongo walivyo wangetumia fursa kuingia mitiniInawezekana ukawa sawa mkuu. Kutokana na ukubwa wa tatizo, ( magari ni mengi yenye kuvunja sheria kumzidi anayesimamia sheria ), utekelezaji wake unakuwa kiasi ni changamoto inayopelekea mhusika kubuni njia mbadala. Fikiria, kama inamchukua askari dakika 10-15 kumsomea mtuhumiwa kosa na kumuandikia fine, ni watuhumiwa wangapi watapita bila ya kupewa adhabu? Nadhani, anachofanya ni sahihi kwa wakati husika mpaka pale yule askari atakapoweza kuwa na nafasi (muda) wa kuwaandikia fine au kufuata utaratibu mwingine.
Ni janga. Anachojitahidi kukifanya ni kuwa na uhakika kuwa hutokimbia kabla ya kuandikiwa fine. Kwa sasa funguo pekee inamfanya dereva abaki eneo lile.Kama alikuwa mwenyewe "inaeleweka" ingawa haipendezi....lakini wabongo walivyo wangetumia fursa kuingia mitini
Ila.....
Si angekusanya leseni zao???
Anyway...inategemea na mazingira
Hakuna kitu Askari wetu wanafanya ambacho hawaruhusiwi kufanya wewe tu labda ndiyo hauelewi mipaka ya Askari wetu inakwenda mpaka wapi!
kama sio mortuary!!!Kumbuka
unaweza ukazunguka jiji kwa masaa matatu na ukajikuta umetokea moi or ICU.
Na wanangoaga mpaka plate number. Unakuta wana mpaka spanner ya kufungulia bolt ya plate number.
Hahahahaa, akipandishwa cheo anakataa?!!!!!
Hamjui hata PR Skills
Vipi kwa upande wa maadili? Anapokea "za kupigia kiwi viatu"?Awadhi noma aisee omba Mungu sikutane nae halafu uwe na kosa hata upige simu kwa IGP au No. 1 hakuachii. Big up afande maana unawafunza wanaojifanya wajanja mjini
Huyu anakamata achilia askari polisi hata maafisa wa polisi wanaotanua barabarani dah acha tu hakuna uhuru uliozolekea hapo mwanzo kwa askari kutanua wanavyotaka sasa hivi ni pasu kwa pasu kwenye foleniAfande awadhi anastahili kuwa Aijipiii... Anajituma sana, hataki rushwa, haonei mtu, na akipandishwa cheo anakataa... Sio mtu wa kujikweza kabisa, safi sana awadhi.
Huyo ndo Mkuu wa traffic kanda maalum DSM usishangae ndani ya siku 10 dsm traffic walipokusanya mil.920 na anaogopwa na askari wenziwe haijalishi ni ofisa au askari wa kawaida ana formula yake ya sheria ni msumeno hukata mbele na nyuma.Huyu afande awadhi anaogopwa na madereva wa daladala ajabu, kuna dereva alitaka kutuingiza kwenye mtaro kisa kapigiwa simu na mwenzie kwamba Awadhi yuko mbele.