Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,318
- 33,125
Sio Mbwa Sema kitoweo hicho............Ha.
Mbwa!
Umesikika Kiongozi.Sio Mbwa Sema kitoweo hicho............
Poa lete habari yako?Umesikika Kiongozi.
Habari ya Masiku?
Mm hata hiyo nyama itakuwa sio tamu!mbwa mwenyewe ana viroboto sana!!hivyo vitu vyeusi hapo ndo vinini
Siyo vizuri kula walinziPuuu! Kichefuchefu jamani!
Puuu! Kichefuchefu jamani!
Mbona hujaweka gunzi huko mkunduni?
TafsidaMbona hujaweka gunzi huko mkunduni?
Hivi nyoka, 'ngu....' na mbwa ni kipi kinaleta kichefuchefu zaidi...
Mjini hapa tushalishwa sana mapaka na majibwaNyama ya mbwa ni tamu sana asikwambie mtu kama nyama choma ya mbuzi
Nyama ya mbwa ni tamu asikwambie mtu. Unaweza kunywa supu yake usijue ukaagizia kibakuli cha piliMjini hapa tushalishwa sana mapaka na majibwa
Siyo vizuri kula walinzi
Buheri wa Afya, KiongoziPoa lete habari yako?