Watangazaji wakali Tanzania upande wa radio!

Loveness Love a.k.a DIVA wa Clooooouuuuds FM................

Diva atakua zaiiiiiiidi kuliko wote maana hata dai lake (500m) hakuna mtangazaji anaeweza kufikia hahahah uwiii...diva diva diva wangu hehehe
 
John Dilinga Matlou only!

Huwa siamini kama kuna entertainer mkali kama John dillinga Matlou katika fani ya utangazaji!, He was the best kwa kweli mwengine hamna kitu ni kuropoka tu na sio kutangaza. Nilikuwa sikosi vipindi vyake kuanzia kile cha The heat na mtaa wa mangoma Radio One, Love and dedication east africa Radio.
Ukiacha Radio shows jamaa ni mkali kwa kuchezesha music club, alikuwa balaa pale ukumbi wa shimoni Morogoro hotel (by then) club Billicas na hasa pale walipokuwa na akina Rico wakiunda kundi lao la the powerful four!
Jamani the guy is talented tuache utani!
 
Yeah! DJ JD is very talented!
 
jumamosi ya juzi nikamsikia Christine Chikonogela akiunguruma TBC zamani RTD na sauti yake saaafi na halisi isiyo na swagger wala mbwembwe zozote zile...
dah nikakumbuka sanaana zamani zile kabla Mungu hajaondoka Africa
 
1.Godwin Gondwe wakati akiwa radio free.
2.Lenard Mambo Mbotela wa KBC ya Kenya
3.Mwai Kikonyo wa VOA
3.Masud Masud
4.Swed Mwinyi TBC
5.Marehemu Halima Mchuka.
Ni wengi sana ila kwa hawa inatosha.

Namba 2.
Bado anasikika kbc taifa, nadhani labda huwa ni vile vipindi va zamani.
Au la, basi huwa wanamrekodi tu akiwa nyumbani, kipindi kile kele cha je huu ni uungwana... "tegua
 
kwa upande wangu waliyonifurahisha sauti zao hat ikanipa mori kusikiliza rtd ni pamoja na Halima Kihemba,Domtila urasa,mikidad mahmoud Anna Gogo,Abdallah Idrissa Majura,Yusuf Seif Nkamba,Salim Mbonde,Angalieni Mpendu,Sara Dumba,Christina Chekunegela,Charles Hillary Titus Filipo,Bati Kombwa,Bakari Malima Ndelema
 
nakubaliana na listi hiyo msela.walikuwa wana sauti za kuvutia hata matangazo ya vifo utasikia bila kujua
 
Hali zenu wana jf! Mda mwingi mimi nkipumzika napenda kusikiliza radio hivyo mda huo nmebahatika kusikia sauti za watangazaji kadhaa ambao nliona ni wakali nao ni hawa Millard Ayo, B dozen, Mchomvu, Dina Marios wote hawa wa clouds fm, Sam Missago, Sebastian, Michael Baruti kutoka Ea radio, Maulid Kitenge na Issack Gamba wa radio one, Halima Kassim (HK) wa kill fm na Gadner aliyekuwa clouds sasa Times fm bila kusahau mh mbunge Juma Nkamia aliyekuwa Tbc. Mdau mwenzang wanaojitahidi kwa upande wako ni akina nani? Kumbuka kila mtu na chaguo lake na mapenzi yake binafsi................!!! Asante..!

Adam Mchomvu bhaaaaaaasi!
Afu kama sijamuona Regina Mwalekwa?
 
Back
Top Bottom