Watangazaji wa TV, hebu jaribuni kuwa na ushirikiano na watu wenu wa camera na sauti

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,646
109,033
Ni aibu sana kwa mtangazaji wa runinga ( television ) tena kubwa na inayotamba hapa nchini kushindwa kujizuia huku akiwa hewani anatangaza na kujamba na bahati mbaya sauti ikasikika huku na yeye akikaa vizuri labda kupisha hewa kutoka sawasawa! Ushauri wangu enyi watangazaji wa television tafadhali mkiona mnakaribia kujamba au mjambo unakuja na huna namna hebu jaribuni basi kufanya mawasiliano na watu wenu wa camera na sound ili msije mkawa mnatia aibu.

Mtu unaamka asubuhi kutizama program halafu lijitu linajamba hewani na linajikausha. Mlioamka leo asubuhi na kutizama kituo kimoja ( jina nalihifadhi ) mtakuwa pengine nanyi mmeipata adha hii. Mmeniondolea hata mood yangu ya kuangalia vipindi vyenu vingine vitakavyofuata kwani nahisi kama huyu aliyefungua tu kipindi leo asubuhi na mapema hii katujambia je hao wa vipindi vingine si wata " ukweka " kabisa?

Jirekebisheni bhana!
 
Sasa kama watu washaona hamna haja ya kumficha jina na maana sio siri tena tuambie tu ni nani
 
Ni aibu sana kwa mtangazaji wa runinga ( television ) tena kubwa na inayotamba hapa nchini kushindwa kujizuia huku akiwa hewani anatangaza na kujamba na bahati mbaya sauti ikasikika huku na yeye akikaa vizuri labda kupisha hewa kutoka sawasawa! Ushauri wangu enyi watangazaji wa television tafadhali mkiona mnakaribia kujamba au mjambo unakuja na huna namna hebu jaribuni basi kufanya mawasiliano na watu wenu wa camera na sound ili msije mkawa mnatia aibu.

Mtu unaamka asubuhi kutizama program halafu lijitu linajamba hewani na linajikausha. Mlioamka leo asubuhi na kutizama kituo kimoja ( jina nalihifadhi ) mtakuwa pengine nanyi mmeipata adha hii. Mmeniondolea hata mood yangu ya kuangalia vipindi vyenu vingine vitakavyofuata kwani nahisi kama huyu aliyefungua tu kipindi leo asubuhi na mapema hii katujambia je hao wa vipindi vingine si wata " ukweka " kabisa?

Jirekebisheni bhana!

Sidhani kama ujumbe wako utafika sawia kwa wahusika pasi kumtaja mlengwa na kituo! Nakuaminia mkuu..taja jina!
 
udaku kama shigongo! uongo mtupu.
 
Afadhali wewe umesikia sauti kwenye TV hapa kazini kwetu kuna mdada wa Kihindi Vegetarian.basi akisha kula dengu huko na chapati anawachia mishuzi huku anakwenda,mwanzo nilikua nashangaa sasa nishamzowea manake nimesema nae mpaka
kubwa atakwambia I cant help it.
 
hivi mkuu mtoto akijamba mbele yako si unaweza ukam'butua teke la nyuma wewe??
 
Tangia Lini Ushuzi Wa Mtoto Ukanuka Kama Wa Mtu Mzima Kama Wewe Ambaye Ukijamba Tu Ndani Chumbani Huna Haja Ya Kununua Dawa Ya Mbu!
 
Afadhali wewe umesikia sauti kwenye TV hapa kazini kwetu kuna mdada wa Kihindi Vegetarian.basi akisha kula dengu huko na chapati anawachia mishuzi huku anakwenda,mwanzo nilikua nashangaa sasa nishamzowea manake nimesema nae mpaka
kubwa atakwambia I cant help it.

Duh! Mkuu Una Moyo. Ebwana Unazoea Kweli Harufu Ya MJAMBO Tena Wa Wahindi? Si Bora Ujambiwe Na Mndengereko Kuliko Mhindi!
 
Sidhani kama ujumbe wako utafika sawia kwa wahusika pasi kumtaja mlengwa na kituo! Nakuaminia mkuu..taja jina!

Acha Kunitanguliza Weye!!!!!!! Wewe Uko Jirani Nao Sana Hapo Kwakuwa Upo Kawe Hapo Lugalo Jeshini Kwenu. Chagua Vituo Vitatu Vya Hapo Karibu Bila Kukisahau Kile Ambacho Trafiki Yule Wa Kike Aligongwa Karibu Nacho Kisha Fanya Kale Kamchezo Ketu Ka " Ana Ana Ana Do Kachanika Basto Displingi Matingo Kajamba Ushuzi Unanuka Tena Sana Sana Kabisa " Kituo Utakachoishia Tu Ndiyo Hicho Hicho Sawa? Kama Hujaelewa Niambie Niendelee KUFUMBA.
 
Back
Top Bottom