GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,848
- 109,552
Ni aibu sana kwa mtangazaji wa runinga ( television ) tena kubwa na inayotamba hapa nchini kushindwa kujizuia huku akiwa hewani anatangaza na kujamba na bahati mbaya sauti ikasikika huku na yeye akikaa vizuri labda kupisha hewa kutoka sawasawa! Ushauri wangu enyi watangazaji wa television tafadhali mkiona mnakaribia kujamba au mjambo unakuja na huna namna hebu jaribuni basi kufanya mawasiliano na watu wenu wa camera na sound ili msije mkawa mnatia aibu.
Mtu unaamka asubuhi kutizama program halafu lijitu linajamba hewani na linajikausha. Mlioamka leo asubuhi na kutizama kituo kimoja ( jina nalihifadhi ) mtakuwa pengine nanyi mmeipata adha hii. Mmeniondolea hata mood yangu ya kuangalia vipindi vyenu vingine vitakavyofuata kwani nahisi kama huyu aliyefungua tu kipindi leo asubuhi na mapema hii katujambia je hao wa vipindi vingine si wata " ukweka " kabisa?
Jirekebisheni bhana!