Nimekuwa nikifuatilia hiki kipindi marakwa mara nimegundua mambo kadha wa kadha yenye kuatarisha uhuru wa demokrasia na uchochozi usio wa msingi, kuna mtu anaitwa Horace Kawau, huyu jamaa sijui kazaliwa wapi???yeye amekuwa mtu wa kuwaona wapinzani si lolote si chochote, kila kitu anapinga na kuona wanachokifanya ccm ndo jambo la maana, HONGERA Merry edward, unajua kusoma alama na unajua unafanya nini, unapotoa wasaa watu kuchangia mada waache wachangie wanavyotaka ili mradi hawavunji sheria, nimesikia kila msikilizaji akipiga simu na kueleza hisia zake akiwa against utawala wa sasa, huyu mtu anajifanya yuko upande wa serikali, akapiga mtu anasuport seriklai anamsifia sana, akisoma gazeti lolote lenye kuwakandia wapinzania, basi hiyo habari ataisoma kwa kina ikiwa kinyume ataruka!haya ni mambo ya KIHAYAWANI, NI UJINGA ULIOTUKUKA, WANANCHI WA KAWAIDA TUNAPATA SHIDA NYINGI, WAMETOKEA WATU WENYE MOYO WA DHATI KIMTAZAMO KUTAKA KULIKOMBOA TAIFA WEWE UNABEZA????SHAME ON U!UPIMBI WA NAMNA HII HAUTAFUMBIWA MACHO!KAMA UNABISHA ENDELEA, UFIKE WAKATI WANA HABARI MUWE NEUTRAL, ACHENI USHABIKI WA KIJINGA!KAMA MNAPENDA USHABIKI WA VYAMA BASI KATANGAZE KWENYE RADIO YA CHAMA!