Watangazaji morning magic 92.9fm acheni ushabiki wa kipuuzi

luckman

JF-Expert Member
Oct 11, 2010
1,211
371
Nimekuwa nikifuatilia hiki kipindi marakwa mara nimegundua mambo kadha wa kadha yenye kuatarisha uhuru wa demokrasia na uchochozi usio wa msingi, kuna mtu anaitwa Horace Kawau, huyu jamaa sijui kazaliwa wapi???yeye amekuwa mtu wa kuwaona wapinzani si lolote si chochote, kila kitu anapinga na kuona wanachokifanya ccm ndo jambo la maana, HONGERA Merry edward, unajua kusoma alama na unajua unafanya nini, unapotoa wasaa watu kuchangia mada waache wachangie wanavyotaka ili mradi hawavunji sheria, nimesikia kila msikilizaji akipiga simu na kueleza hisia zake akiwa against utawala wa sasa, huyu mtu anajifanya yuko upande wa serikali, akapiga mtu anasuport seriklai anamsifia sana, akisoma gazeti lolote lenye kuwakandia wapinzania, basi hiyo habari ataisoma kwa kina ikiwa kinyume ataruka!haya ni mambo ya KIHAYAWANI, NI UJINGA ULIOTUKUKA, WANANCHI WA KAWAIDA TUNAPATA SHIDA NYINGI, WAMETOKEA WATU WENYE MOYO WA DHATI KIMTAZAMO KUTAKA KULIKOMBOA TAIFA WEWE UNABEZA????SHAME ON U!UPIMBI WA NAMNA HII HAUTAFUMBIWA MACHO!KAMA UNABISHA ENDELEA, UFIKE WAKATI WANA HABARI MUWE NEUTRAL, ACHENI USHABIKI WA KIJINGA!KAMA MNAPENDA USHABIKI WA VYAMA BASI KATANGAZE KWENYE RADIO YA CHAMA!
 
Nimekuwa nikifuatilia hiki kipindi marakwa mara nimegundua mambo kadha wa kadha yenye kuatarisha uhuru wa demokrasia na uchochozi usio wa msingi, kuna mtu anaitwa Horace Kawau, huyu jamaa sijui kazaliwa wapi???yeye amekuwa mtu wa kuwaona wapinzani si lolote si chochote, kila kitu anapinga na kuona wanachokifanya ccm ndo jambo la maana, HONGERA Merry edward, unajua kusoma alama na unajua unafanya nini, unapotoa wasaa watu kuchangia mada waache wachangie wanavyotaka ili mradi hawavunji sheria, nimesikia kila msikilizaji akipiga simu na kueleza hisia zake akiwa against utawala wa sasa, huyu mtu anajifanya yuko upande wa serikali, akapiga mtu anasuport seriklai anamsifia sana, akisoma gazeti lolote lenye kuwakandia wapinzania, basi hiyo habari ataisoma kwa kina ikiwa kinyume ataruka!haya ni mambo ya KIHAYAWANI,

NI UJINGA ULIOTUKUKA, WANANCHI WA KAWAIDA TUNAPATA SHIDA NYINGI, WAMETOKEA WATU WENYE MOYO WA DHATI KIMTAZAMO KUTAKA KULIKOMBOA TAIFA WEWE UNABEZA????SHAME ON U!UPIMBI WA NAMNA HII HAUTAFUMBIWA MACHO!KAMA UNABISHA ENDELEA, UFIKE WAKATI WANA HABARI MUWE NEUTRAL, ACHENI USHABIKI WA KIJINGA!KAMA MNAPENDA USHABIKI WA VYAMA BASI KATANGAZE KWENYE RADIO YA CHAMA!
 
kawau! Kawau! Mpuuz 2 yule! Xexexe ye na mzee wa mwibara wana mpango wa kugombea u diwan cju! Jitazame.
 
Well said luckman, mie pia nimekuwa nasikiliza sanaa kipindi hiki cha morning magic...naona jamaa anaelekea kuwa kama yule camerun wa clouds aka kibonde...habari ikiwa ni ya ccm basi ataishadadia mpakaa but ikiwa ni yaupande wa upinzani anaipotezea...nyambafuuuu zake
 
Marry to be honest, she is good, amekuja juzi ila anaweza kufanya uchambuzi mzuri na inaoneka ana ufaham wa siasa kwa kiasi fulani, ila huyu mjomba anajiita Horace, mhhh ni janga ila tumsaidie yeye bado kijana, na ajue vijana hatma yetu ni nini katika taifa hili!ajue mioyo yetu imeumizwa vip na utawala wa sasa, ajue matatizo ya nchi yanasababishwa na nani, ajue kwa nini sasa hivi post za juu zinaathiri vp mfumo wa dhana ya utawala bora na sera zao za maji taka na alshabab!ajue haya yote yanatuathiri sana, ka kijana aliyena jukwaa la kuongea na watatnzania bado anacheza na kuruka ngoma ya usaliti!ok, basi aendelee!
 
Mimi nina mtazamo tofauti(sina maana ya kumtetea Kawau), kwa kawaida studio wanakuwa watangazaji zaidi ya mmoja, so mada inapowekwa mezani kujadiliwa sharti wagawanyike pande mbili. Otherwise, mada hiyo itakuwa ya upande mmoja na haitaleta maana.

Tatizo ninaloona hapa ni kwamba kuna mtangazaji mmoja anamzidi mwenzie ktk kutetea mada. Kimsingi walitakiwa kuliona hilo, wajipange vizuri. Unaweza kumtetea Mary, kumbe aidha kwa makusudi au kwa uwezo wake mdogo wa kusimamia hoja ndio maana kila siku Kawau anaonekana mnafiki.

Kwa maoni yangu, hawa watangazaji lazima wabalance wakati wa kujadili hoja fulani yenye maslahi kwa taifa ili kuepuka bias zisizokuwa za lazima.
 
Hata mie namckiaga, MPUUUUUUUUUUUUUUUUZZZZIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII kabisa...Unajua penye ukwl kuwa mkwl, ila aache unafiki..MEDIA is a means of Communication and u need to balance.Mbna haoni maisha ya watanzania tunayoishi ama yy yake bora sanaaa..Aangalie ndugu zake kule vijijini ajue jinsi maisha yanavyokuwa magumu..Aache ukenge na ushabiki wa kukandia mapinduzi.
 
Mimi nina mtazamo tofauti(sina maana ya kumtetea Kawau), kwa kawaida studio wanakuwa watangazaji zaidi ya mmoja, so mada inapowekwa mezani kujadiliwa sharti wagawanyike pande mbili. Otherwise, mada hiyo itakuwa ya upande mmoja na haitaleta maana.

Tatizo ninaloona hapa ni kwamba kuna mtangazaji mmoja anamzidi mwenzie ktk kutetea mada. Kimsingi walitakiwa kuliona hilo, wajipange vizuri. Unaweza kumtetea Mary, kumbe aidha kwa makusudi au kwa uwezo wake mdogo wa kusimamia hoja ndio maana kila siku Kawau anaonekana mnafiki.

Kwa maoni yangu, hawa watangazaji lazima wabalance wakati wa kujadili hoja fulani yenye maslahi kwa taifa ili kuepuka bias zisizokuwa za lazima.

Mimi nasikiliza sana mwaka 4 sasa ila wananiboaa sana wanavyokosea kosea kusoma inatakiwa wapitie hayo magazeti au wanachotaka kusema ili wappunguze kukosea duuu
 
Amini nawaambia, mtu yeyote aliyepata mkopo wa elimu ya juu wakati hakustahili kuupata kwa kuwa alifeli lazima awe wa namna ya Horace Kawau. Mtu yeyote anayeishi kwa kuhongwa na mafisadi, lzm awe wa namna ya Horace Kawau. Mtu yeyote ambaye upeo wake wa kufikiri unaamuliwa na moyo, lzm awe wa namna ya Horace Kawau.

Tusitegemee mazuri kwa watu wa namna hii kwani wanaamini wamefanikiwa kumbe kilichokosewa akilini mwao ni definition ya mafanikio. Na si Horace Kawau tu, CHannel Ten kuna wawili, Salama.... na Fred Mwanjala. Hawa nao wana akili za kale za kuona mabadiliko ni janga. Inanishangaza kuwa na vijana wa namna ya ubongo wa kale, na hili nitaliwekea mada ubaoni kesho wanaJF tulijadili ni nini watanzania wanataka au, TUMELOGWA?
 
Mimi nasikiliza sana mwaka 4 sasa ila wananiboaa sana wanavyokosea kosea kusoma inatakiwa wapitie hayo magazeti au wanachotaka kusema ili wappunguze kukosea duuu

kaka nimefanya hii research kwa muda sasa nimeligundua hili, hata kama ni kugawanyika hata simu wanazisemea espcially zile zilizopigwa zikiwa na mtazamo kinyume na matakwa yake??mbona kila siku yeye tngu enzi mtazamo wake ni wa upande mmoja???mgawanyiko ili kubalance hata kusoma habari za magazeti???hata kugeuka kuwa msemaji mkuu wa nchi, jamani huu sio utu na kama napenda utangazaji wa kiituikadi ipo uhuru aombe?na kama magic ni radio ya kada basi watwambie make siasa tanzania zimefika mbali sasa,tunaona star tv baadhi ya watangazaji, tunamuona shoga kibonde, tunamuona jamaa wa mlimani tv tunaona chanel ten, ifike hatua watwambie!kama wanataka hisia za wananchi zitawale wawaache na zile program za kupiga simumkuchangia mada wazifute make zinaboa!kuna tatizo gani iwapo mtu anatoa mawazo yake bila kuathiri sheria za nchi, kanuni na taratibu za mahali fulani?tunabweteka na kumbiwa utamaduni wa mtanzania si 1 2 3 hali haohao wanaosema utamaduni wa mtanzania washauasi?TUBADILIKE NA TUWE NA STAHA NDANI YA JAMII!TUSITENGENEZE NJIA YA KUJIWEKEA MAZINGIRA MAGUMU HAPO BAADAE KWANI WATU TUNASOMA NA TUNATUNZA, MUDA WA UTAFIKA TUTAKUMBUSHANA!
 
Mimi nina mtazamo tofauti(sina maana ya kumtetea Kawau), kwa kawaida studio wanakuwa watangazaji zaidi ya mmoja, so mada inapowekwa mezani kujadiliwa sharti wagawanyike pande mbili. Otherwise, mada hiyo itakuwa ya upande mmoja na haitaleta maana.

Tatizo ninaloona hapa ni kwamba kuna mtangazaji mmoja anamzidi mwenzie ktk kutetea mada. Kimsingi walitakiwa kuliona hilo, wajipange vizuri. Unaweza kumtetea Mary, kumbe aidha kwa makusudi au kwa uwezo wake mdogo wa kusimamia hoja ndio maana kila siku Kawau anaonekana mnafiki.

Kwa maoni yangu, hawa watangazaji lazima wabalance wakati wa kujadili hoja fulani yenye maslahi kwa taifa ili kuepuka bias zisizokuwa za lazima.

kaka nimefanya hii research kwa muda sasa nimeligundua hili, hata kama ni kugawanyika hata simu wanazisemea espcially zile zilizopigwa zikiwa na mtazamo kinyume na matakwa yake??mbona kila siku yeye tngu enzi mtazamo wake ni wa upande mmoja???mgawanyiko ili kubalance hata kusoma habari za magazeti???hata kugeuka kuwa msemaji mkuu wa nchi, jamani huu sio utu na kama napenda utangazaji wa kiituikadi ipo uhuru aombe?na kama magic ni radio ya kada basi watwambie make siasa tanzania zimefika mbali sasa,tunaona star tv baadhi ya watangazaji, tunamuona shoga kibonde, tunamuona jamaa wa mlimani tv tunaona chanel ten, ifike hatua watwambie!kama wanataka hisia za wananchi zitawale wawaache na zile program za kupiga simumkuchangia mada wazifute make zinaboa!kuna tatizo gani iwapo mtu anatoa mawazo yake bila kuathiri sheria za nchi, kanuni na taratibu za mahali fulani?tunabweteka na kumbiwa utamaduni wa mtanzania si 1 2 3 hali haohao wanaosema utamaduni wa mtanzania washauasi?TUBADILIKE NA TUWE NA STAHA NDANI YA JAMII!TUSITENGENEZE NJIA YA KUJIWEKEA MAZINGIRA MAGUMU HAPO BAADAE KWANI WATU TUNASOMA NA TUNATUNZA, MUDA WA UTAFIKA TUTAKUMBUSHANA!
 
kaka nimefanya hii research kwa muda sasa nimeligundua hili, hata kama ni kugawanyika hata simu wanazisemea espcially zile zilizopigwa zikiwa na mtazamo kinyume na matakwa yake??mbona kila siku yeye tngu enzi mtazamo wake ni wa upande mmoja???mgawanyiko ili kubalance hata kusoma habari za magazeti???hata kugeuka kuwa msemaji mkuu wa nchi, jamani huu sio utu na kama napenda utangazaji wa kiituikadi ipo uhuru aombe?na kama magic ni radio ya kada basi watwambie make siasa tanzania zimefika mbali sasa,tunaona star tv baadhi ya watangazaji, tunamuona shoga kibonde, tunamuona jamaa wa mlimani tv tunaona chanel ten, ifike hatua watwambie!kama wanataka hisia za wananchi zitawale wawaache na zile program za kupiga simumkuchangia mada wazifute make zinaboa!kuna tatizo gani iwapo mtu anatoa mawazo yake bila kuathiri sheria za nchi, kanuni na taratibu za mahali fulani?tunabweteka na kumbiwa utamaduni wa mtanzania si 1 2 3 hali haohao wanaosema utamaduni wa mtanzania washauasi?TUBADILIKE NA TUWE NA STAHA NDANI YA JAMII!TUSITENGENEZE NJIA YA KUJIWEKEA MAZINGIRA MAGUMU HAPO BAADAE KWANI WATU TUNASOMA NA TUNATUNZA, MUDA WA UTAFIKA TUTAKUMBUSHANA!

Unfortunately, siku hizi mimi sio msikilizaji sana wa Magic FM, siwezi ku urgue sana maana mimi nilitumia uzoefu wa media za nje eg. BBC,DW na VOA kwa kuangalia mijadala yao. Kwa hapa bongo ni vituo vichache sana(kama kweli vipo) vyenye uwezo wa kubalance story. Labda kidogo Super Mix ya akina Zembwela ingawa nao wana deal sana na watendaji wa ngazi za chini.
 
na hata hivyo hayuko peke yake..wapo wengi sana wa aina hii...vyombo vya habari havitumiki ipasavyo yani siku hizi hivi vituo vya redio ni kama vile mtu unavyomiliki Bar, hamna utaratibu kabisa na wala hawaangalii wanamtangazia nani! wenzetu sasa hivi wanahangaika na kuwakamata watu waliotumia vibaya vituo vya redio kusababisha vita na machafuko kwa kuwafunga jela...! sie hapa hata mifano tu hatuoni....mwe!
 
kaka nimefanya hii research kwa muda sasa nimeligundua hili, hata kama ni kugawanyika hata simu wanazisemea espcially zile zilizopigwa zikiwa na mtazamo kinyume na matakwa yake??mbona kila siku yeye tngu enzi mtazamo wake ni wa upande mmoja???mgawanyiko ili kubalance hata kusoma habari za magazeti???hata kugeuka kuwa msemaji mkuu wa nchi, jamani huu sio utu na kama napenda utangazaji wa kiituikadi ipo uhuru aombe?na kama magic ni radio ya kada basi watwambie make siasa tanzania zimefika mbali sasa,tunaona star tv baadhi ya watangazaji, tunamuona shoga kibonde, tunamuona jamaa wa mlimani tv tunaona chanel ten, ifike hatua watwambie!kama wanataka hisia za wananchi zitawale wawaache na zile program za kupiga simumkuchangia mada wazifute make zinaboa!kuna tatizo gani iwapo mtu anatoa mawazo yake bila kuathiri sheria za nchi, kanuni na taratibu za mahali fulani?tunabweteka na kumbiwa utamaduni wa mtanzania si 1 2 3 hali haohao wanaosema utamaduni wa mtanzania washauasi?TUBADILIKE NA TUWE NA STAHA NDANI YA JAMII!TUSITENGENEZE NJIA YA KUJIWEKEA MAZINGIRA MAGUMU HAPO BAADAE KWANI WATU TUNASOMA NA TUNATUNZA, MUDA WA UTAFIKA TUTAKUMBUSHANA!

Huyo anayesema mada ikiwa mezani ili kujadiliwa sharti wagawanyike wawe pande mbili nafikiri hajui nini kinaongelewa hapa.
Huwa ninasikiliza Radio Tumaini wale watangazaji Domina na Hyera huwa wanawakilisha vizuri pande zote hsika hasa wanaposoma magazeti nawasihi jaribuni kutyuni 96.3 fm asubuhi ya magazeti msikie na hao jamaa wa magic nao wajaribu kujifunza toka kwa wengine sio vibaya vinginevo ipo (ktk Tanzania) siku watangazaji wa redio/tv na waandishi wa habari watapandishwa vizimbani kujibu tuhuma za uchochezi kisiasa katika vipindi wanavyovisimamia at this time!!!
 
Anaogopa ukweli...anajua wakishika dola atakufa njaa hapa mjini kwani utakuwa mwisho wa misheni town! Labda atarudi kwa babu yake Kenya! Anaogopa kurudi kwa babu yake kwani hawezi kupambana na maisha zaidi ya kusubiria "tips" kama mhudumu wa bar!
 
Nimekuwa nikifuatilia hiki kipindi marakwa mara nimegundua mambo kadha wa kadha yenye kuatarisha uhuru wa demokrasia na uchochozi usio wa msingi, kuna mtu anaitwa Horace Kawau, huyu jamaa sijui kazaliwa wapi???yeye amekuwa mtu wa kuwaona wapinzani si lolote si chochote, kila kitu anapinga na kuona wanachokifanya ccm ndo jambo la maana, HONGERA Merry edward, unajua kusoma alama na unajua unafanya nini, unapotoa wasaa watu kuchangia mada waache wachangie wanavyotaka ili mradi hawavunji sheria, nimesikia kila msikilizaji akipiga simu na kueleza hisia zake akiwa against utawala wa sasa, huyu mtu anajifanya yuko upande wa serikali, akapiga mtu anasuport seriklai anamsifia sana, akisoma gazeti lolote lenye kuwakandia wapinzania, basi hiyo habari ataisoma kwa kina ikiwa kinyume ataruka!haya ni mambo ya KIHAYAWANI, NI UJINGA ULIOTUKUKA, WANANCHI WA KAWAIDA TUNAPATA SHIDA NYINGI, WAMETOKEA WATU WENYE MOYO WA DHATI KIMTAZAMO KUTAKA KULIKOMBOA TAIFA WEWE UNABEZA????SHAME ON U!UPIMBI WA NAMNA HII HAUTAFUMBIWA MACHO!KAMA UNABISHA ENDELEA, UFIKE WAKATI WANA HABARI MUWE NEUTRAL, ACHENI USHABIKI WA KIJINGA!KAMA MNAPENDA USHABIKI WA VYAMA BASI KATANGAZE KWENYE RADIO YA CHAMA!

Nimekusoma vizuri kijana. Kumbe hoja hapa ni watu wanaoikosoa serikali kuruhusiwa kutoa maoni yao wakati wale wanaoitetea kunyimwa nafasi. Kwako wewe hiyo ndo demokrasia na kutohatarisha amani. Hicho siyo kichwa, ni nazi!
 
we ndo mropokaji???SOMA KWANZA UMUELEWE KIJANA KAANDIKA NINI??ANACHOKISEMA NI KUBALACE MAMBO!KAMA NIMEMUELEWA ANACHODAI INAPOFIKA MTU ANAIGUSA SERIKALI HUYU MTANGAZAJI ANAKUWA MKALI WHICH IS TRUE NA HILO NDO JAMBO KUBWA LILILONIFANYA NIACHE KUWASIKILIZA HAWA JAMAA!NI UKWELI MTUPU ALICHOSEMA NA SI VINGINEVYO!ANYWAY MTAZAMO WAKO UNAKUTUMA HIVO NA AKILI YAKO FINYU!NAMSUPORT MJUMBE ALIYEWEKA HII THREAD!
 
Leo nimemsikia huyo bwn dachi anadai chenge anaitwa fisad kwa sababu tu aliita mamilion vijisent,na el wanamshutumu na ukiuliza sababu eti ana mali nying na rostam eti kwa sababu caspian inajenga rel ethiopia!anadai hawa jamaa wanatuhumiwa tu hamna mwenye ushahid!nadhan mnaomwita jembe mmeona ujembe wake
 
Back
Top Bottom