Watangazaji maarufu wa radio zetu

ehee na inchi za jirani imo? mimi LEONARD MAMBO MBOTELA hasssssssssssssssa kwenye kile kipindi cha miaaaka kibao cha JE? HUU NI UUNGWANAAAAAAAAAAAA. KBC

Babra Clouds FM
 
Jacob Tesha, Sarah Dimba, Ahmed Jongo, Kipozi, Tido Mhando, J. Nyaisanga, Taji Liundi.&lt;br /&gt;<br />
Kwa hawa tulionao sasa ................wanajitahidi ila nawasikiliza tu.
&lt;br /&gt;<br />
&lt;br /&gt;
 
IBRAHIMU MASUDI MAESTRO,ALEX RWAMBANO NA SHAFIH DAUDA. Kiukweli hawa jamaa napenda sana kuwasikiliza wakiwa kwenye sport xtra ya clouds fm huwa naenjoy sana!
 
Back
Top Bottom