Watangaza nia walikuwemo bungeni tangia 2000 - 2015

Leo nasikia yule jamaa anataka kuwa rais wawauza juice ataongea na kutangazania awe rais wetu wauza juice!yule ambaye anaamini sisi wauza juice hatuwezi ila wageni ndio wanaweza wakati yeye mwenyewe muuza juice na kuonesha hawezi wauza juice walimpa ile wizara ya moto kwenye lile shirika la moto deni likawa kubwaa hatari!na bei ya moto ikawa kubwa hatari
Ccm wanazidi kufanya Maigizo
 
Wakati Mwingine huwa nahisi viongozi wengi wa ccm sio watanzania kwani awanagaa hata uruma kabisa kwa mateso tulio pata miaka 54 wangekuwa na roho ya kitanzania wange juuzulu wote
 
Wa Tanzania wa sasa wamediriki kwenda kulala vituoni ili wajiandikishe basi jua ccm imeondoka madarakani! Tena Bila kuaga
 
Wakati Mwingine huwa nahisi viongozi wengi wa ccm sio watanzania kwani awanagaa hata uruma kabisa kwa mateso tulio pata miaka 54 wangekuwa na roho ya kitanzania wange juuzulu wote
Ubinafsi na kutokua na Woga wa Mungu ndio Tatizo lao Kubwa
 
Mafisadi wakutupwa leo hii wana jitekenya mwenyewe na kucheka yenyewe
Tuna wasubiri wamalize ngonjera za kutangaza nia za wizi.
Sisi tuna waimiza watu kujiandikisha
 
Naskia na bwana Kighoda nae atatangaza nia,sasa jamani huyu bwana alishiriki uuzwaji na uuaji wa Vijiwanda vyetu,leo akiwa rais si ataiuza mpaka tii bii esi

Yaani asubuhi ya leo nikitoka nyumbani nasikiliza magazeti redioni hili wazo lilinijia, 'hivi Kigoda ye hataki urais' sijamsikia, kumbe anatangaza!
Si bora sheria ikawekwa tu kuwa urais uwe mwezi mmoja mmoja ili kila mtanzania apate? Maana kama ni hivyo kila mtu anaweza.

Tangu nipate akili ndio sasa napata kushangaa mno kwa hizi nia zinazotangwazwa hasa na wanachama wa CCM. Hivi wanaamini wana jipya au basi tu! Hivi wanajua wanavyotuchosha?Kwa CCM kashfa ni jambo la msingi sana, % kubwa wenye/waliokuwa na kashfa ndio wako mbele kutaka urais na tena wanaungana mkono ka mazuzu vile. Ngoja tuendelee kuwasikiliza
 
Attachments

  • aaaaaa.jpeg
    aaaaaa.jpeg
    26.3 KB · Views: 45
Yaani asubuhi ya leo nikitoka nyumbani nasikiliza magazeti redioni hili wazo lilinijia, 'hivi Kigoda ye hataki urais' sijamsikia, kumbe anatangaza!
Si bora sheria ikawekwa tu kuwa urais uwe mwezi mmoja mmoja ili kila mtanzania apate? Maana kama ni hivyo kila mtu anaweza. Tangu nipate akili ndio sasa napata kushangaa mno kwa hizi nia zinazotangwazwa hasa na wanachama wa CCM. Hivi wanaamini wana jipya au basi tu! Hivi wanajua wanavyotuchosha?
Kwa CCM kashfa ni jambo la msingi sana, % kubwa wenye/waliokuwa na kashfa ndio wako mbele kutaka urais na tena wanaungana mkono ka mazuzu vile. Ngoja tuendelee kuwasikiliza
Mbaya wanajinasibu heti walizozichukua Sasa wanazirudisha kwa Wananchi ukiunganisha dots inamaana wanazirudisha kwa Ruswa
 
ccm kama ina lengo la kupambana vizuri kwenye uchaguzi wa oktoba ihakikishe inapitisha mgombea asiye na kashfa na pia anayekubalika na watanzania walio wengi. pia asiye ambaye alikuwa serikalini. vinginevyo ccm wasitafute mchawi.
Je huyo atakuwa ni nani katika waliokwisha tangaza nia!
 
Hii mada ni nzuri sana na ingewezekana watanzania wote wakaisoma CCM ingeshindwa kabla ya siku ya uchaguzi.

Wananchi tujiandkishe na ik kupga kuretukapigekwa UKAWA il tundokane na hii hali tuliyo nayo kwasasa.

UKAWA tunataka tumjue mgombea mapema ili tumnadi nchi nzima mapema muda umekwisha.

Vilevile UKAWA mtupe mikakati inayoeleweka na kutekelezeka ili tuinadi kwa wananchi mapema!
 
Wameweka sheria yamitandao hili kuficha mambo kama haya
 
Back
Top Bottom