Chademakwanza
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 6,346
- 1,871
- Thread starter
- #21
Ccm wanazidi kufanya MaigizoLeo nasikia yule jamaa anataka kuwa rais wawauza juice ataongea na kutangazania awe rais wetu wauza juice!yule ambaye anaamini sisi wauza juice hatuwezi ila wageni ndio wanaweza wakati yeye mwenyewe muuza juice na kuonesha hawezi wauza juice walimpa ile wizara ya moto kwenye lile shirika la moto deni likawa kubwaa hatari!na bei ya moto ikawa kubwa hatari