Watanganyika someni ujumbe huu kutoka Zanzibar

Crashwise

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
22,227
8,735
IMG_0102.JPG
Nimeona siyo vibaya watanganyika wenzangu nikiwaonyesha baadhi ya vipeperushi vilivyoko Unguja(Stone Town) karibu kila kona nilikutana na ujumbe huu...Je watanganyika mnasemaje...

+++++++++++++++++++++
Watanganyika inapasa tujielewe. Ili kufikia hatua hiyo pitia hii mada.

link https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/334649-tundu-lissu-na-kiini-macho-cha-muungano-12.html
 
Waache wajitawale hope watajifunza kitu coz hata sisi tuna mengi ya kufanya wenyewe kama watanganyika so wasitupotezee muda sio faida yoyote ya huo muungano zaidi ya malalamiko tuu.
 
Crashwise hawa tuwaache tu waende bana wewe kwani wa nini? hawabebeki na ndio wanaoleta sumu za udini huku bara
 
Last edited by a moderator:
In fact, we do not need them. Fare thee well! na muda mfupi ujao kutakuwa na Jumhuri mbili, ile ya watu wa Pemba na ile ya watu wa Unguja. Nendeni huko, wabaguzi nyie. Mumeshaanza ku-export udini wenu huku Tanganyika na watanganyika washenzi waliokosa kazi zakufanya nao eti wanashabikia mpaka mnachoma makanisa yetu huku. Mlianza Zanzibar, tukasema ni bahati mbaya ingawa tunatambua ushirikiano mlioupata kwa viongozi wenu. Sasa mmevuka mipaka mpaka huku kwa wastaraabu wanaomuamini Mungu mmeanza kupitisha mizizi yenu yakigaidi. Nendeni kabisa. Kwa taarifa yenu, wakristu wanamuamini Mungu wakweli na huwa hawalipizi kwa nguvu za mwili. Wanalipiza kwa nguvu za Mungu wao aliyehai. Mnakumbuka zilipita wiki ngapi baada ya kuchoma makanisa huko Zanzibar na kuzama kwa meli? Sasa Mungu ameona tena. Mtalia tena muda si mrefu. Chezea Mungu wakweli nyie magaidi eti?
 
Yani kila kukicha ni balaa, muungano umebana, malawi wanataka vagi, rpc wanauwa na wanauwawa, raisi kutwa kucha safarini yani laana hii sijui tutaikwepea wapi!!!???
 
Crashwise hawa tuwaache tu waende bana wewe kwani wa nini? hawabebeki na ndio wanaoleta sumu za udini huku bara

Mkuu gfsonwin nilichokiona zanziba ni kwamba wako kwenye harakati za kuvunja muungano kwa vyovyote vile ikifika jioni ukienda darajani utakuta vikundi wanajadili namna ya kuvunja muungano na na mihadhala ya uamusho huko ndiyo imepamba moto na ili kuwafikia wazanzibar walio wengi wanarusha kwenye radio station za huko na wengi wana fatilia mbaya kabisa...
 
Last edited by a moderator:
Yani kila kukicha ni balaa, muungano umebana, malawi wanataka vagi, rpc wanauwa na wanauwawa, raisi kutwa kucha safarini yani laana hii sijui tutaikwepea wapi!!!???
Katubu za dhambi zako..uliambiwa ukimchangua ni janga ukapuuza...
 
Mkuu gfsonwin nilichokiona zanziba ni kwamba wako kwenye harakati za kuvunja muungano kwa vyovyote vile ikifika jioni ukienda darajani utakuta vikundi wanajadili namna ya kuvunja muungano na na mihadhala ya uamusho huko ndiyo imepamba moto na ili kuwafikia wazanzibar walio wengi wanarusha kwenye radio station za huko na wengi wana fatilia mbaya kabisa...
napenda sana umoja but huu siutak uvunjike tu tuwe na amani
 
Hakuna cha muungano wa mkataba wala nini,hapa ifanyike referendum na maamuzi yaheshimiwe! Kama ni kuvunja muungano ndiyo maamuzi yatakayofikiwa basi na uvunjwe tu kwa roho safi!

Lakini wazanzibari watalalamika mpaka lini si bora wawashawishi baraza la mapinduzi wapitishe maamuzi ya kuvunja muungano basi tuone kama kuna mtu atakayewabishia?
 
Back
Top Bottom