Wazanzibar wameonge weee na sisi watanaganyaika tumejitia kujitwika gunia la misumari wakati vichwa vyetu upara nashindwa kuelewa mtanganyika na mzanzibar nani anamuitaji mwenzake zaidi madai yao eti wana bandali tanganyika tuna bandali ngapi eti wana uwanja wa ndege tanganyika tunavyo vingapi sasa limeingia la gessi kwn tanaganyika tuna a machimbo mangapi kila siku zanzibar ,zanzibar waacheni na ubinafsi wao na sisio tudai taifa letu tanganyika
ni just maoni tuu wamenfika mwisho leo
ni just maoni tuu wamenfika mwisho leo