Sisi wenyewe ndio tumekuwa watumwa wa wazungu na mafisadi.wazenji hawana faida yoyote kwetu-bora ingekuwa tunawatumia kama watumwa watufanyie kazi-
Na hatujakoma sasa tutakuwa watumwa wa mchina pia.
Au utajiri wetu, rasilimali zetu tunawagawia nani? Tena tunajituma kweli ikifika jioni jamaa wanaondoka na wanyama pori kwa ndege za kijeshi, makontena ya nyara yanaondoka kama utani, dhahabu, gesi...hata akina Richmond/DOWANS wanashinda kesi na tuwalipe fidia baada ya kuwa "wameshatu"cameroon".
Je mtumwa anataka mtumwa? Mkuu ET umenifurahisha kweli!
Hili limuungano limetuvuruga akili kweli. Sisi tunapiga kelele, mayowe...wajanja wanajaza "vijisenti" mifukoni.