cabhatica
JF-Expert Member
- Sep 30, 2010
- 1,081
- 480
Walioandikishwa kupiga kura milioni 19.6
Wanachama hai wa vyama vyote vya siasa takribani milioni 7.6
Wasiokuwa wanachama milioni 12(?). Hawa ndio deciding group. Huwa hawapigi kelele, wanaenda kimyakimya. Hawahitaji kushawishiwa maana wanaelewa.
Msitishwe na mashati ya kijani wala nyimbo za TOT . Ni sawa na kelele za chura mtoni. Hazimzuii ngombe kunywa maji.