Wataalam wanadai hii video ndio ya kutisha kuliko zote ISIS walishawahi kutoa

Maghayo

JF-Expert Member
Oct 5, 2014
13,695
29,030
Mzuka wanaJF!

Lile kundi la wahun kule Syria na Iraq ISIS walitoa video wakiwaninginiza juu chini binadamu wenzao na kuwachinja bill huruma kama kondoo. Wahun hao walifanya tukio hilo la kuogofya wakisherehekea siku ya idd.

Wataalam wamesema video hiyo ndio ya kikatili kuliko zote wahun hao washawahi kutoa. Inasemekana mateka wengi wanawaomba sana ISIS kuwauwa kwa kupigwa risasi badala ya kuchinjwa na kuchomwa moto hai.

WITO

Baada ya kuangalia hii Video naipongeza serikali kwa kulinda amani na utilivu nchini. Japo tuna matatizo mbalimbali na tofauti za hapa na pale ila hatuna budi kujivunia zawad yetu ya amani na utulivu. Binadamu ni hatari sana.
3847D95300000578-0-image-a-14_1473752950073.jpg
WATCH: New ISIS Video ‘Story of Slaughter’ Beheads 5 ‘Spies’ & Puts Their Heads on Spikes
 

Attachments

  • 3847D7D800000578-0-image-m-13_1473752928648.jpg
    3847D7D800000578-0-image-m-13_1473752928648.jpg
    23.1 KB · Views: 176
  • 3847D95B00000578-0-image-a-11_1473752911012.jpg
    3847D95B00000578-0-image-a-11_1473752911012.jpg
    14.4 KB · Views: 205
  • 3847D8A300000578-0-image-a-10_1473752907718.jpg
    3847D8A300000578-0-image-a-10_1473752907718.jpg
    14.6 KB · Views: 149
Heading ni video af Content ni Pictures what is your intention brother!!!???
braza nimejarib kuilodi inaleta mushkel ila kwenye youtube ipo lakini wamekatakata wadau wamelalamika walipoiona hawakulala
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom