Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 35,697
- 106,861
Habari...
Jumamosi nilikua naitumia Tarakirishi mpakato usiku nikaizima after hours ikiwa nzima kabisa. Jumapili jioni nikaiwasha niitumie lakini ikawa inaonyesha logo kidogo then inakuja rangi nyeupe kwenye kioo kizima (White Screen of Death)
Ikiwa hivyo huwezi kuona lololote wala kufanya chochote..nikajaribu kutumia Functions keys (Safe booting) ikashindikana...Nikataka nijaribu kuweka window haikuwezekana.
Options ikabidi niifungue japo iliniuma coz ndio ilikua mara ya kwanza toka naitumia. Nikatengenisha kila kitu safisha, nikahot na Hot Gun. Nikafunga nikawqsga kitu bado kipo vilevile.
Nikaona niifungie ndani tu for 3days lakini bado iko vilevile.
So nimeona niifngue kisha nitoe HDD nihamishe Data zote zilizomo kwenye Computer nyingie kisha HDD hiyo niiwekee Window nyingine kwa kutumia Computer nyingine then nihamishe kwenye Computer yangu hii mbovu.
Je njia hii itafaa?? Nasubiri Go ahead yenu juu ya hili au kama kuna njia zingine nielekezeni nufanye.
Ahsanteni...🙏