Wataalam wa bata ni wapi pa kujiachia weekend hii Dar es Salaam?

sonofobia

JF-Expert Member
Jun 21, 2015
384
2,525
Wakali wa bata nipeni suggestions za place tulivu za kujiachia.

Nataka kutumia weekend hii kula bata man alone.

Sehemu ziwe zile classic zisizo na vurugu kuwe walau na muziki mzuri na warembo.

Pia kama unafahamu Airbnb nzuri nitajie nataka nikitoa leo ghetto narudi jumapili jioni.
 
Nenda kigamboni kwenye yatch ukale upepo wa bahari umwagilie moyo mziki kwa mbaali
 
Bajeti bei gani? How much class is classic to you?

Nenda msasani China Garden property chukua apartment/airbnb. Daka uber/bolt ikupeleke 1245 masaki for bata, usivae misendo sijui minini nini hutapewa access ya kuingia.
Bajeti laki 3 tu sio class ya kiivyo napenda tu bata sehemu safi na tulivu bila kuhofia kurushiwa chupa au kwenda toilet mkojo unazagaa chini 😂😂

Hizo details aisee wewe wa kishua haswa 🙌
 
Wakishua wapi, tunafosi king mjini tu hapa.

Anyways kwa bajeti hiyo si mbaya wakuu watakupa muongozo.
 
Wakali wa bata nipeni suggestions za place tulivu za kujiachia.

Nataka kutumia weekend hii kula bata man alone.

Sehemu ziwe zile classic zisizo na vurugu kuwe walau na muziki mzuri na warembo.

Pia kama unafahamu Airbnb nzuri nitajie nataka nikitoa leo ghetto narudi jumapili jioni.
IMG-20230922-WA0018.jpg
IMG-20230922-WA0016.jpg
IMG-20230922-WA0009.jpg
 
Back
Top Bottom