Wasukuma! wasukuma!

Kivyako mbona thread yako haina mashko? Omba radhi wana jf haraka? Wasukuma wameamka ile mbaya hv siku hzi rais wako unamsikia anakuja mwanza mara kwa mara? But lazma kabla ya kimbunga cha chadema alikua anakuja kila wiki!!!! Wasukuma ni wajanja sana siku hz Ngeleja katafuta watu wampokee aonekane anapendwa kumbe wapi na kwa taarifa yako tu Ngeleja 2015 hana chake Sengelema wamemchoka hawamtak tena!!!! Before u post a thread to critical thinkers like jf think twice

Bora wewe umemwelewesha.
 
Nalimuwila gwa nghana giki, atiho nuulu umo uyo waleka numba nuulu baana ba ng'wawe bagosha na bakima, nuulu nina, nuulu ise, nuulu baana bakwe, nuulu malaale kulwa nguno yane na kulwa nguno ya Nghulu Jawiza,[/QU ....tafsiri "wasukuma wanalima pamba na niwafugaji pia. Ni wachapakazi sana. Chakula chao kikuu ni maugali, maharage, masamaki masato na maziwa... Malizia tafsiri ya maneno yaliyobaki. Naruhusu kukosolewa (sharti; lugha iwe kiswahili au kingereza)
 
Tuleja Kulya ng'ombe jakwe duhu,nakale unchilo huyo akaliwaga. kula Kwa ngeleja, kura Chadema, peoplessss.....
 
Nalimuwila gwa nghana giki, atiho nuulu umo uyo waleka numba nuulu baana ba ng'wawe bagosha na bakima, nuulu nina, nuulu ise, nuulu baana bakwe, nuulu malaale kulwa nguno yane na kulwa nguno ya Nghulu Jawiza,
Umbehi mwenheyu nyana sana!! Webaka balowasa !!
 
aliondoka chenge kwa ubadhilifu, nyumbani bariadi akapokelewa kishujaa, ngereja ameondolewa kwa ufisadi kwao sengerema wanajipanga kumpokea kishujaa! Ndg wana jf naomba mnijuze hawa wasukuma ni watu wa namna gani?
hata lowassa naye ni msukuma wa monduli?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom