Wasukuma! wasukuma!

kivyako

JF-Expert Member
Feb 2, 2012
14,341
12,045
Aliondoka chenge kwa ubadhilifu, nyumbani bariadi akapokelewa kishujaa, ngereja ameondolewa kwa ufisadi kwao sengerema wanajipanga kumpokea kishujaa! Ndg wana jf naomba mnijuze hawa wasukuma ni watu wa namna gani?
 
"wanaopokelewa kishujaa" huwa wametuma fedha kununua watu na kugharimia ulaji huo wa muda mfupi ili kujipa moyo kwamba bado wana social constituency base. Otherwise Wasukuma ni watu walioamuka na sasa hivi hawataki Magamba kabisa.
 
Mkuu vipi kuhusu Edward Ngoyayi Lowasa nae pia ni msukuma? Don't jump to conclusion without proof.
 
na kwanini unawajumuisha wasukuma wote? wasukuma wote wangekuwa na akili hizo akina wenje and co wangetokea wapi?
 
wewe ni kabila gani?, ni vema ungeleta mjadala wa hoja na si kabila.
 
na kwanini unawajumuisha wasukuma wote? wasukuma wote wangekuwa na akili hizo akina wenje and co wangetokea wapi?

Mwambie! Mi nimempa mfano mdogo tu hapo juu wa Lowasa alipojiuzuru u pm ilikuwaje? Hajanijibu mpaka sasa.
 
Nalimuwila gwa nghana giki, atiho nuulu umo uyo waleka numba nuulu baana ba ng'wawe bagosha na bakima, nuulu nina, nuulu ise, nuulu baana bakwe, nuulu malaale kulwa nguno yane na kulwa nguno ya Nghulu Jawiza,
 
"wanaopokelewa kishujaa" huwa wametuma fedha kununua watu na kugharimia ulaji huo wa muda mfupi ili kujipa moyo kwamba bado wana social constituency base. Otherwise Wasukuma ni watu walioamuka na sasa hivi hawataki Magamba kabisa.

Ahsante kwa maelezo mkuu, nilidhani ni watu wa kukumbatia magamba na mafisadi, nimekupata utamu.
 
Nalimuwila gwa nghana giki, atiho nuulu umo uyo waleka numba nuulu baana ba ng'wawe bagosha na bakima, nuulu nina, nuulu ise, nuulu baana bakwe, nuulu malaale kulwa nguno yane na kulwa nguno ya Nghulu Jawiza,

Gwan'hana gete!
 
Aliondoka chenge kwa ubadhilifu, nyumbani bariadi akapokelewa kishujaa, ngereja ameondolewa kwa ufisadi kwao sengerema wanajipanga kumpokea kishujaa! Ndg wana jf naomba mnijuze hawa wasukuma ni watu wa namna gani?

Kwa hili wasukuma ni watu werevu sana, wanakuwa wamwpewa pesa ili wajitpkeze kwa wingi kumpokea.....wanafanya hivyo....

Lakini sasa sukuma land ni moja kati ya ngome kuu za Chadema.
 
Mkuu vipi kuhusu Edward Ngoyayi Lowasa nae pia ni msukuma? Don't jump to conclusion without proof.

Ungeongeza list mkuu kuliko kununa, naamini hata wewe hali hii huipendi popote pale inapotokea ktk nchi yetu, lengo ni kukemea.
 
Ntaiongeza list kama itathibitika kua hawa watu ni wasukuma
lowasa
mramba
na wengineo,
vinginevyo rekebisha title.
 
Nalimuwila gwa nghana giki, atiho nuulu umo uyo waleka numba nuulu baana ba ng'wawe bagosha na bakima, nuulu nina, nuulu ise, nuulu baana bakwe, nuulu malaale kulwa nguno yane na kulwa nguno ya Nghulu Jawiza,

Ulimhola wang'wise.
 
Kivyako mbona thread yako haina mashko? Omba radhi wana jf haraka? Wasukuma wameamka ile mbaya hv siku hzi rais wako unamsikia anakuja mwanza mara kwa mara? But lazma kabla ya kimbunga cha chadema alikua anakuja kila wiki!!!! Wasukuma ni wajanja sana siku hz Ngeleja katafuta watu wampokee aonekane anapendwa kumbe wapi na kwa taarifa yako tu Ngeleja 2015 hana chake Sengelema wamemchoka hawamtak tena!!!! Before u post a thread to critical thinkers like jf think twice
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom