Wassira si msafi; achunguzwe!

Hii ndio TZ, Watu wote wachafu hasa viongozi. Si wa kiserikali, kichama wala kidini. Nchi hii haifiki popote, labda aje Malaika kutuongoza. Wizi mtupu. C.C.M. CUF. CDM. WIZI MTUPU.

Hata baba Mwanaasha sio msafi?? uwiii twafaaa!!!!
 
Acheni upuuzi wa kufuatilia maisha ya watu.
Jimbo la Arumeru mashariki lina matatizo mengi sana, hakuna maji, barabara mbovu mno, uhaba wa shule za msingi na sekondari, vituo vya afya hakuna na vichache vilivyopo vipo hoi, hospitali ya wilaya Patandi ipo hoi, kuna tatizo kubwa la ardhi ( vita inanukia kati ya wananchi na wawekezaji waliomega ardhi kubwa) ugonjwa wa ukimwi unatesa jamii, soko la usa ni chafu bidhaa zinapangwa chini, hivo hivo tengeru na kikatiti, vijana wengi hawana ajira! polisi wa usa wamekithiri kwa rushwa na mateso dhidi ya raia, sasa hayo ndio tunataka majawabu yake sio ufundi wenu wa kutukanana na uzinzi wenu wa kuchukua wake za watu, hayo hayatusaidii sisi wana meru, anayetaka kura zetu sharti atupatie majibu ya matatizo hayo hapo juu na akidanganya akashinda akashindwa kutekeleza miaka yake ni hii mitatu tu basi tumechoka na upuuzi na propaganda za wanasiasa uchwara!!
 
Wana JF mbona ni Wassira huyuhuyu alimpora Mzee Ndege Mke na wanaishi kama Wachumba? Na alijaribu kupeleka mahari Tarime akataliwa kuwa huyo ni mke wa mtu na Wakurya hawapokei Mahari mara mbili?ana usafi Gani kumuongelea DR Slaa wakati ni wasira huyuhuyu akiwa mkuu wa mkoa wa Mara alikula fedha za Hospitali ya Mkoa ambayo haipo hadi leo?,ni Wasira huyuhuyu aliyefanya Mzee ndege kufa kwa presha baada ya Wassira kumpora mke kwa Kigezo cha Uwaziri,ni Wassira huyuhuyu aliyekula fedha za Ndege Insurance na kusababisha kampuni na familia ya Mzee ndege kusambaratika..
Akae kimya aache mchezo uchezwe kwa wana siasa vijana

kwa mila na desturi za wakurya ni marufuku mjane kuolewa tena, ndugu na jamaa humpa mtu mwingine km mrithi wa marehemu tena mtu huyo lazima atoke ndani ya ukoo. Huyo mrithi kazi yake ni kama msimazi wa familia ya marehemu. Kitendo Wassira alichokifanya ni laana, na kamwe hawezi thubutu kwenda ukuryani kwani atachapwa viboko. Nilikutana na Wassira mwaka juzi pale Gongo la mboto kwenye msiba wa mdogo wa mama Ndege akiwa anatoa rambirambi. Kamati iligoma kumuweka Wassira katika jopo la kuusindikiza mwili wa marehemu kwenda Tarime.
 
Wana JF mbona ni Wassira huyuhuyu alimpora Mzee Ndege Mke na wanaishi kama Wachumba? Na alijaribu kupeleka mahari Tarime akataliwa kuwa huyo ni mke wa mtu na Wakurya hawapokei Mahari mara mbili?ana usafi Gani kumuongelea DR Slaa wakati ni wasira huyuhuyu akiwa mkuu wa mkoa wa Mara alikula fedha za Hospitali ya Mkoa ambayo haipo hadi leo?,ni Wasira huyuhuyu aliyefanya Mzee ndege kufa kwa presha baada ya Wassira kumpora mke kwa Kigezo cha Uwaziri,ni Wassira huyuhuyu aliyekula fedha za Ndege Insurance na kusababisha kampuni na familia ya Mzee ndege kusambaratika..
Akae kimya aache mchezo uchezwe kwa wana siasa vijana

Kweli hizi Siasa za Maji taka sijui kama zitawafikisha popote CCM. Huyu Wassira nafikiri angekuwa mtu wa mwisho kabisa kumurushia madongo Dr. Slaa kwasababu Wassira ananuka rushwa.

Mimi hapa sisemi majungu ninasema kitu kilicho wazi ambacho kila mtu anaweza kuthibitisha. Wasira alishawahi kupatikana na HATIA ya kutoa Rushwa mbele ya mahakama kuu. Unaweza kufanya reference ya HUKUMU hii. Wassira is A CONVICTED CORRUPT BEFORE THE COURT OF LAW. Alipatikana na hatia ya kutoa rushwa kwenye uchaguzi wa Bunda (ref Kesi ya Wasssira V. Judge Warioba) na mahakama kuu ikatengua ubunge wake na KUMPIGA BAN ya kutogombea cheo cha aina yeyote kwa mda MIAKA 5.

Sasa mtu ambaye tayari alishahukumia kwa RUSHWA na MHAKAMA KUU hivi ana usafi gani? When you're living in glass house don't throw STONE!

Dr. Slaa naomba leo ukumbushie hii kesi ya Wassira kwamba huyu Jamaan is a convicted corrupt guy! Kama hakujifunza kwa Mkapa na Vicent Nyerere naomba naye msimuoneo huruma huyu MLA RUSHWA MKUBWA.
 
Mwacheni huyu mzee aseme atakavyo maana anaona analipa fadhila kwa baba Mwanaasha. Mzee Wassira alichoka mbaya hadi alikuwa anatia huruma ukikutana naye, alibaki na kiwanda chake kichafu cha samaki pale Msasani na kilitaka kufungwa ndiyo akaenda kupiga magoti CCM wamrudishe kundini sasa anajifanya yeye ndiye kimbele mbele CCM.
 
mbona yeye anakimada chake yupo hapa manispaa ya kinondoni (diwani wa viti maalum (ccm)) anaitwa mama wasila ni nyumba ndogo yake, japo kwa mujibu wa dini ya kikristo hairuhisiwi mbona hasemi!
 
Ile club ni ya zamani tangu mzee mbowe mwenyewe akiwa hai huyu Freemana amerithi tu.
Sijui ni watu wangapi kila siku wanalazishwa kwenda Bilicanas?

Ivi pale club bilicanas ni vijana wangapi wanaharibika kwa kujiingiza kwenye umalaya na madawa ya kulevya kwa mwezi

mbowe tujibu tafadhali
 
Kinachosikitisha kwa Wassira ni kutelekeza familia zake za wake wa zamani. Kwa kweli wala hazipi matunzo.

Wassira ni mwizi mzoefu; alipochaguliwa kuwa waziri wa TAMISEMI akitokea Kilimo ambako hakumaliza hata mwezi alihamisha furniture mpya za nyumbani alizonunuliwa na Tamisemi na huku alikwishanunuliwa nyingine alipokuwa kilimo nyumba hiyo hiyo[ alikuwa anachukua fedha badala ya kununua samani], kama huu sio wizi ni kitu gani?
 
Duh wanawake na nyie mmezidi angalieni na sura wakati mwingine.kama unaweza kutembea na Wassira najua huwezi shindwa lala na sokwe kwani tofauti zaoni moja tu kwamba wassira anaweza kuongea..!!!
 
Mtu mwenye access na Slaa amtupie hii issue ya kuiba mke wa mtu na issue ya ndege insurance msisau na issue zake za nccr kwani slaa leo anunguruma Arumeru
 
Kama ni wizi wa wake za watu tu hicho wala kwa CCM sio kitu cha ajabu saana, kwani mumesha sahau mambo ya kijana wao Mwigulu Nchemba kule Igunga?
 
Huyo mama ana uhusiano wowote na yule jamaa yetu Sebastian Ndege, mtangazaji kipindi cha njia panda anayeishi white house Kinondoni?

Wana JF mbona ni Wassira huyuhuyu alimpora Mzee Ndege Mke na wanaishi kama Wachumba?

Na alijaribu kupeleka mahari Tarime akataliwa kuwa huyo ni mke wa mtu na Wakurya hawapokei Mahari mara mbili?ana usafi Gani kumuongelea DR Slaa wakati ni wasira huyuhuyu akiwa mkuu wa mkoa wa Mara alikula fedha za Hospitali ya Mkoa ambayo haipo hadi leo?,

ni Wasira huyuhuyu aliyefanya Mzee ndege kufa kwa presha baada ya Wassira kumpora mke kwa Kigezo cha Uwaziri,ni Wassira huyuhuyu aliyekula fedha za Ndege Insurance na kusababisha kampuni na familia ya Mzee ndege kusambaratika..
Akae kimya aache mchezo uchezwe kwa wana siasa vijana
 
wasira na slaa ngoma draw

dr.slaa jana Kirumba alimwambia Wassir kuwa yeye si size yake atafute size yake asijipendekeze, hata hivyo yeye hakufukuzwa kanisani kama anataka ukweli aende Karatu ataupata ukweli au kwa rais wa Baraza la maaskofu kuliko kujitafutia umaarufu wa kisiasa kipitia Mgongo wake.
hata hivyo juu ya kuiba mke wa mtu aende mahakamani aulize ile kesi imeishaje?
 
Wasira hana jipya nchi imewashinda wanashindwa kututolea maelezo ya maisha kuwa magumu,kushuka kwa thamani ya shilingi,kupanda kwa bei ya vitu kiholela leo anatuletea ishu za kufukuzwa upadri dr zitawasaidia vp wana Arumeru.
Anguko la ccm sasa wanatapata tu kuchafua watu hilo jimbo lilikuwa lao miaka mingapi wameshindwa kutatua kero za wananchi leo wanaleta siasa za majitaka.
Eti cdm wezi wa shahada yamekuwa hayo tena, hiyo ndo michezo yao ccm wameamua kuipakazia Cdm. wanaArumeru wameamka tar 1 jibu litapatikana
 
Back
Top Bottom