Wassira si msafi; achunguzwe!

mwanampole

New Member
Apr 20, 2011
2
3
Waziri Ofisi ya Rais - Mahusiano na Uratibu (President's Office-Social Relations and Co-ordination) Bwana Stephen Masato Wassira, ameripotiwa kuwa na historia ya kuoa na kuacha wake zaidi ya wanne katika historia yake.

Na cha kusikitisha zaidi wanaharakati wa haki za binadamu na jinsia,wamehabarishwa kupitia vyanzo vya kuaminika kuwa, amemtelekeza mkewe, Mama Rose Wasira, ambae amezaa nae watoto sita,ikiwa ni pamoja na kijana alieoa hivi karibuni, aitwae Kambarage Wasira. Wengi wamepinga kupewa nafasi hii ya mahusiano ya jamii kwani yeye binafsi hana sifa hiyo. Ameripotiwa kunyanyasa kwa kijinsia na kuwapiga wake zake.Habari za kuaminika zimeripoti kuwepo kwa nyaraka za hospitali za mkewe mkubwa ambaye amepata ulemavu wa mgongo na shingo wa kudumu,kutokana na vipigo vya waziri huyu, ajulikanae pia kwa jina la TYSON.

Wadau wapenda maendeleo,wa forum hii waliwahi kuhoji nini Majuklumu ya Wizara ya "TYSON"?? Wakati mjadala huo ukiendelea, kumeibuka habari hizi ambazo zinaendelea kuongeza hamaki baina ya wadau mbalimbali.

Habari za kuaminika zinadai kuwa,Mzee Wasira,alipopata Uwaziri,alimtelekeza mkewe huyu,ambae alihangaika nae maisha yake yote, na kumtwaa kimwana machachari,ambaye ni Diwani Viti Maalum,Kata ya Mwananyamala(CCM), Florence Gathi Wasirra. Mwanamama huyu inasemekana ni mroho wa mali na mpenda utajiri alikuwa mke wa Marehemu Casmir, Bigacho Ndege, aliyekuwa Diwani wa Kata ya Mwananyamala. Mzee Wasira anaishi na Mama huyu katika nyumba ya Uwaziri Masaki.

Habari zilizotufikia hivi punde, zimebainisha waziri huyu kuwa mshirika wa kibiashara wa huyu Diwani ambapo wanamiliki kwa Pamoja, makampuni kama Gati Insurance Brokers, yenye makao makuu jijini Dar,na STEGA COMPANY LIMITED.(Stephen & Gati).

Makampuni haya yanatumika kufanya ufisadi katika Wizara anazoenda Wasira.Habari toka ndani ya Wizaera ya Kilimo zimebainisha kuwepo na vitendo vya ufujaji, ikiwa ni pamoja na kuomba kununuliwa Samani za ndani mara kwa mara (Furnitures), ambapo samani hizo zimetumika kufungua Guest (nyumba ya Kulala Wageni), iitwayo PINA, Bahari Beach ambayo ilikua nyumba ya Marehemu Ndege.

Watu hawa hawastahili kuwa viongozi wetu.na jamii iwakemee.Wadau wamemuomba Rais JK amuondoe huyu Waziri kwenye nafasi za umma.

Aidha Wanaharakati wa Legal and Human Rights Centre, wamepata habari hizi kwa mshituko na kuahidi kuzishughulikia,hasa kuhakikisha Mama huyu anapata haki zake.

Habari zaidi kutoka Kitengo cha Vizazi na Vifo(RITA),zimethibitisha kuonekana kwa Mama wasira akifuatilia cheti cha ndoa, ambacho inasemekana Waziri wasira alitumia madaraka yake Kula njama na kufuta katika kumbukumbu.

Akizungumza na Wanaharakati waliofuatilia zaidi, Kiongozi wa RITA ambae hakutaka jina lake litajwe,alisema;'Hata sisi tunashangazwa na jinsi kumbukumbu ya cheti hiki ilivyotoweka, lazima kuna jambo'.

Wanaharakati wameomba vyombo vya maadili,ikiwa pamoja na PCCB.kumchunguza kwa kina na kuchukua hatua za kinidhamu kukomesha maovu baina ya viongozi wa Umma.Maswali muhimu ya kujiuliza ni kwamba,Je Vyombo husika havifahamu mambo haya?na hatua gani zinachukuliwa?

Vyanzo vya kuaminika kutoka Tume ya maadili vimebaini kuwa,Bwana Wasira hakutaja Hisa zake katika makampuni yanayoshutumiwa hapo juu,wakati wa zoezi muhimu la viongozi kuweka bayana mali zao,na hii inahusisha hisa za kampuni na Biashara mbalimbali.Aidha,Rais JK,aliwahi kuwataka viongozi wachague kati ya SIasa na Biashara,na kuwataka Wanasiasa waachane na Biashara ili kuepuka migongano ya Kimaslahi katika utendaji wao na kuunga mkono juhudi za Rais katika kupiga vita ufisadi na ubadhilifu ndani ya serikali.
 
Na cha kusikitisha zaidi wanaharakati wa haki za binadamu na jinsia,wamehabarishwa kupitia vyanzo vya kuaminika kuwa,amemtelekeza mkewe,Mama Rose Wasira,ambae amezaa nae watoto sita,ikiwa ni pamoja na kijana alieoa hivi karibuni,aitwae kambarage Wasira.Wengi wamepinga kupewa nafasi hii ya mahusiano ya jamii kwani yeye binafsi hana sifa hiyo.Ameripotiwa kunyanyasa kwa kijinsia na kuwapiga wake zake. Habari za kuaminika zimeripoti kuwepo kwa nyaraka za hospitali za mkewe mkubwa ambaye amepata ulemavu wa mgongo na shingo wa kudumu,kutokana na vipigo vya waziri huyu,ajulikanae pia kwa jina la TYSON.
Mi nilifikiri anaitwa Tyson kama utani kumBe jamaa mpiganaji wa ukweli? Nitamwandalia Pambano na Manny Pacquiao!
 
Duuh jamani ccm walafi sijapata ona!hawana ubinadamu hata chembe mpaka mali za marehemu!lol?aingie uislam kuoa mke wa pili ruksa si kumtelekeza wa kwanza kisa kaugua!
 
Simpendi sana Wassira binafsi nawafahamu wake zake wawili wote wauguzi na wamewahi kufanya kazi Muhimbili,nadhani mambo binfsi tumuachie mwenyewe ayatatue na wake zake ,
 
Huyu mama ndege zamani baada ya mmewe kufariki alikuwa anaonga vijana kuwapa VVU sasa hajabu tena karudi kwa wazee?! Huyu mama kiboko! ila nimewai kumwona ni chuma si mchezo acha wasira achanganyikiwe tu! Waarabu wa Pemba-Kumbe urafi wake na Mkulu ni Uzinzi wao!
 
kuna msemo usemao siri ya mtungi aijuaye kata! mambo haya ni binafsi refer to pandora box case
 
Kinachoniuma hapa ni kutelekeza mke wake na watoto. Kweli mtu akiltelekeza familia yake, ataweza kuongoza wanchi wengine kweli?
 
Huyu mama ndege zamani baada ya mmewe kufariki alikuwa anaonga vijana kuwapa VVU sasa hajabu tena karudi kwa wazee?! Huyu mama kiboko! ila nimewai kumwona ni chuma si mchezo acha wasira achanganyikiwe tu! Waarabu wa Pemba-Kumbe urafi wake na Mkulu ni Uzinzi wao!

au ndo mana naye wassira alikuwapo pale Samunge kupata kikombe. Huenda kale kagonjwa hatari anako! We acha tu na haya mambo, ama kweli kpendacho roho..........!
 
Sasa ndio nimejua ni kwa nini GATI INSURANCE BROKERS ni wakaidi kiasi hiki, Hii Kampuni ni ya kifisadi
sana hii, Inachukua Premium za wateja na haiziremit kwenye respective insurance companies na
hawafanywi kitu chochote, Muhanga Mkubwa wa ufisadi wake ni real insurance ambao wameishazimwa
millions of TZS.

Masikini Tanzania
 
Kama hao wake zake hawajawahi kutoa ripoti kwa vyombo husika, kwa nini sisi tuingilie mambo yao binafsi?
 
haya sio mambo binafsi maana viongozi wenye tamaa za fisi hawafai katika jamii na maamuzi yao huwa ni lege lege sio wavumilivu ni wataka vyote sasa huyuanachukua vyote, vya marehemu na kuchanganya na vyake je huyu kawa mbayu wayu?
 
This is extremely sad story.... Yule Mama kweli ni shetani aisee
 
Sisi wakurya hupendi kusema uongo..sisi hupenda ile kweli...hii mzee inaitwa tyson sijui , ila kwa huyu mama ni tyson imekutana na buldoza..sisi kule nyamongo tunajua nini ni buldoza..buldoza ina kazi moja tu...kuzoa udongo, dhahabu mawe yenyewe inazoa tu..

Hii mama ilikuwa ndege sasa tena nasikia imeruka hivi sasa sio ndege tena iko na huyu muzee..sisi kwetu mama hata ikifiwa na mume wake haiwezi kupaa kwenda kwingine hata kama inaitwa ndege...sasa sababu hii ni buldoza sishaingia ikibadilika kuwa fisadi..muzee huyu itachotwa kama muzee ndgeg alafu buldoza itapaki
 
IMG_1634.JPG
 
Buldoza nayo hupenda Barabara yenye Maji....Huyu ndio Kipenzi cha Buldoza aliangauka Udiwani Kijikinyama jina Bulembo..Wee Muzee acha
 
wassira what goes around always comes around malipo ni hapa hapa duniani. hili jamaa siku za karibuni limeonekana lina wasiwasi saana na liko mstari wa mbele sana kuitetea serikali ya kifisadi kumbe anajua alichokifanya. wadau believe you me machozi ya mwanamke huwa hayaendi buree huyu anayejiita tyson life will knock him ot one day na atarudi na kubasi kwa mke wake na kuomba asamehewe. ogopa kilio cha mkeo akiwa an haki zoote.
 
Ndege alikuwa diwani wetu na amekufa kwa kale kaugonjwa. Ahhhh nimegundua ndo maana tyson alikimbilia kwa babu samunge kupata kikombeee! Du mbona gati hakwenda? Akina mama wa mjini kitimoto na bia lazima apendeze hata kama ameathirika. Ndo maana mwanae ndese aitwae seba ameshikia bango mambo ya ukimwi ehhhhh!!!!
 
Waziri Ofisi ya Rais-Mahusiano na Uratibu (President's Office-Social Relations and Co-ordination) Bwana Stephen Masato Wasira,ameripotiwa kuwa na historia ya kuoa na kuacha wake zaidi ya wanne katika historia yake.

inawezekana yeye ndiyo anakimbiwa...........
 
Back
Top Bottom