Wassira si msafi; achunguzwe!

Hakuna kitu kinachomfadhaisha mwanaume kama kuibiwa mke au mpenzi wake hasa kama mwizi anatumia kigezo cha kuwa na mali au wadhifa mkubwa.Jamaa hastahili kutupa tuhuma kwa wengine kwenye majukwaa wakati yeye ana boriti katika jicho lake.
Kuhusu tuhuma za ufisadi na hizo cheap embezzlement zenye kutia aibu siwezi sema sana kwa sababu last time i checked the whole of CCM is corrupt(kuvua magamba slogan) and they acknowledge it.

Warning: 'The mentioned ape is out of control' please report to the nearest zoo or vetenary..(Political Joke)
 
Hii ndio TZ, Watu wote wachafu hasa viongozi. Si wa kiserikali, kichama wala kidini. Nchi hii haifiki popote, labda aje Malaika kutuongoza. Wizi mtupu. C.C.M. CUF. CDM. WIZI MTUPU.
 
i see

hao wanawake kipi kinacnowafanya wakimbie waume zao?
Hao wanaume wana matatizo gani hadi wanakimbiwa kimbiwa na wake zao?
 
Mlikuwa wapi siku zote? baada ya yeye kuibuwa sakata la kuliwa fedha za kanisa na Slaa? kwi kwi kwi, teh teh teh.
 
Kinachosikitisha kwa Wassira ni kutelekeza familia zake za wake wa zamani. Kwa kweli wala hazipi matunzo.
 
Hii ndio TZ, Watu wote wachafu hasa viongozi. Si wa kiserikali, kichama wala kidini. Nchi hii haifiki popote, labda aje Malaika kutuongoza. Wizi mtupu. C.C.M. CUF. CDM. WIZI MTUPU.

Shetani naye alikuwa malaika tena mkuu kabla ya kuasi pamoja na majeshi (mapepo & majini) yake.
 
i see

hao wanawake kipi kinacnowafanya wakimbie waume zao?
Hao wanaume wana matatizo gani hadi wanakimbiwa kimbiwa na wake zao?

unaongea wakati mwaka jana umemwaga msela wangu kisa kipato chake kidogo majibu yako umepata mwenye tembo card na ford
 
Ni Wasira huyuhuyu aliyefanya Mzee ndege kufa kwa presha baada ya Wassira kumpora mke kwa Kigezo cha Uwaziri,ni Wassira huyuhuyu aliyekula fedha za Ndege Insurance na kusababisha kampuni na familia ya Mzee ndege kusambaratika.
Kumbe mzee Ndege alishafariki then huyo anakuwaje mke wa mtu?
 
Back
Top Bottom