Gotze Giyani
Senior Member
- Feb 28, 2022
- 122
- 182
Wadau habarini za jioni, poleni na jukumu la kujenga taifa,
Ndiyo tunaelekea mwisho wa mwaka bado siku 30 tu mwaka uishe je umefikia malengo yako au ndio kuishi kwa mazoea kama watanzania wengi tulivyozoea niende kwenye mada.
Hivi karibuni kumetokea tabia au mazoea ya wanasiasa kuwazarau wasomi wengi wa Tanzania na kuona kama wamepoteza muda kwenye elimu.
Mfano nimesikia kiongozi mmoja mkubwa anasema kama unasoma ujui utafanya wapi kazi ni kupoteza muda tu, mwingine tena akasema kufaulu darasani tu hakukufanyi upate kazi na wengine wamepandisha nauli kiolela na kusema walichukua maoni ya wadau kumbuka hao ni viongozi hivi uwa wanatuchukuliaje watanzani.
Mbaya zaidi na mwingine kasema hizi mvua zinazonyesha nyingi maji hayaingia kwenye mabwawa ya kuzalishia umeme na aliyesema hichi ni msomi na kiongozi maoni yangu nini kifanyike ili watanzania tuache kuburuzwa na hawa watu japo kuna na wasomi ila nao wanakuwa ovyo.