Wasomi waonya chuo kikuu cha Dar-es-Salaam kutumiwa kisiasa

Katika hitimisho la miaka 50 tangu kuanzishwa kwa chuo kikuu wasomi mbalimbali amesifu mchango wa chuo hicho katika masuala mbalimbali yanchi lakini wameonesha kutilia shaka baadhi ya wasomi wenzao ambao wamekuwa wakitaka kukichafua chuo hicho kwa kukiweka katika ushabiki wa siasa badala ya kuwa kioo cha kuongoza maendeleo ki falsafa.

Wameshangazwa na mtindo wa baadhi ya viongozi waandamizi wa jumuiya ya wanataaluma UDASA kutumia nyadhifa zao katika vyama vya siasa kuleta makongamano yenye ajenda ya kupigia debe vyama vyao.

Baadhi ya wanataaluma hao wamebainishwa kuwa ni wastaafu na hawapo tena chuo kikuu lakini wamekuwa wakitumia historia ya kuwahi kuwa chuoni hapo kuleta makongamano yenye mtazamo wa upande mmoja. Pia walitilia shaka matumizi ya baadhi ya vyombo vya habari.

Chuo kikuu kina Television yake Mlimani TV, LAKINI BAADHI YA WANATAALUMA WAMEKUWA WAKIITA VYOMBO VYA HABARI AMBAVYO NI VYA BINAFSI NA KURUSHA LIVE MAKONGAMANO HAYO BILA KUWEKA BAYANA NANI WANAFADHILI MATANGAZO HAYO.

WALIWEKA MSIMAMO BAADA YA KUHOJI IWEJE KWENYE MAADHIMISHO YA CHUO KIKUU MBONA HIVYO VYOMBO VYA HABARI HAIVIKURUSHWA SHEREHE ZA MIAKA HAMSINI YA CHUO KIKUU? LABDA KUTAKUWA NA MAJIBU KWENYE HII FORUM

Uzushi mtupu.hakuna aliyehoji kitu kama hicho jana pale Nkrumah labda kwenye vikao ya CCM pale REDET
 
ikiwa walimu wanafikiri hivo, je wanafunzi wao watakuwaje? hawa ndo professors who gets points by publishing own department journals which are reviewed by their friends, the journals only runs when a "seniors" member wants to get promotion. Professors wanakuwa wa ajabu and the journals never get international recognition. For any who knows a journal from UD which have at least regional recognition.

What worries me more ni what kind of graduates wanatoka hapo? may be we need tuition kwa wanafunzi wa UD sasa wakipewa sumu na hawa "mapolofesa" wanakuja kitaa the real Professors wanawapa maziwa, mambo yataenda.
 
aiseeee babaangu ulicho sema ni kweli kabisa prof mtahaba wanakaa mtaa mmoja na mkandala aka mzee wa ps 220 na mkandala ndio mwasisisi wa hali mpya kasi mpya na nguvu zaidi,, basi 2mpe dr ngware wa ds au au prof mbonile wa ge ikishindikana rwaitama[/QUO

DAH CHUO KINAPOTEA TUNAONA
 
ikiwa walimu wanafikiri hivo, je wanafunzi wao watakuwaje? Hawa ndo professors who gets points by publishing own department journals which are reviewed by their friends, the journals only runs when a "seniors" member wants to get promotion. Professors wanakuwa wa ajabu and the journals never get international recognition. For any who knows a journal from ud which have at least regional recognition.

What worries me more ni what kind of graduates wanatoka hapo? May be we need tuition kwa wanafunzi wa ud sasa wakipewa sumu na hawa "mapolofesa" wanakuja kitaa the real professors wanawapa maziwa, mambo yataenda.

kwenye mihadhara wanatupa nondo za ukweli ila linapokuja swala la public exposure ni majanga
 
wasomi mbalimbali ni wasomi gani hao? watajeni majina kama hatujakuta kuwa ni makada na niwafia Chama cha Magamba (CCM)
 
Back
Top Bottom