Wasomi wa vyuo vikuu nguzo imara ya CHADEMA Igunga

Wasomi gani nyie, kwanza punguzeni ngono huko vyuoni ndio uje hapa kuongea. wasomi ndio nyie? kweli kichekesho, nyie ni wazushi.
Hii inaonesha uwezo wako mdogo wa kuelewa mada na michango husika inayotakiwa ktk mada hiyo.Tunaongelea uwezo walionao wa kuweza kuwaelimisha wazee wetu na kaka na dada ambao hawakupata fursa ya kufika walipo wewe unasema VYUONI KUNA NGONO. nikuulize swali UNAFIKIRI KUNA UHUSIANO WA MOJA KWA MOIA KATI YA NGONO NA CHUO?JE UNAFIKIRI KWA NINI TAQBIA HIYO HAIKO KATIKA CHUO KIMOJA?JE WEWE NA WATOTO WAKO HAWATAJIUNGA NA CHUO?Ndugu yangu serikali tuliyo nayo inachangia sana tatizo hili hili tulipunguze lazima tubadili mfumo
 
Tunawasubiri mfanye mambo..
Mabadiliko ni lazima Hata ROMA haikujengwa siki 1 ndo maana tunahitaji IGUNGA.CCM kwa ujumla wanajua ASILIMIA KUBWA YA VIJANA HAWAITAKI na vijana wanazidi kuongezeka vijana ambao mwaka 2010 walikuwa na miaka 13 mpaka 17 na ambao uchaguzi ujao watakuwa wapiga kura ni wengi mno
 
Wasomi gani nyie, kwanza punguzeni ngono huko vyuoni ndio uje hapa kuongea. wasomi ndio nyie? kweli kichekesho, nyie ni wazushi.
..Waende ccm ili wakajikute na wao wanafikiri kwa kutumia masaburi??
 
Back
Top Bottom