Huyu wasira kadata yaani sababu anayosema kuwa hataki kuachia madaraka kwa vijana ati ni vijana wanakula bangi ..!!!! nchi kibao wanakula mjani,Holland kule wanakula mjani,Jamaica na sehemu kibao.Sisemi hivi natetea wanala mjani ,la hasha! Sababu alioitoa ni mufilisi kwa mtu mzoefu kama Tyson ni fedheha sana na matusi kwa vijana ni aibu kubwa kwa mtu mzima kama Wasira
.sababu yake ya kutoachia madaraka ni selfshiness yake....nilimsikia akisema alianza kuwa mbunge tangu mwaka 1970 anajisifia kwa masifa kede kede . miaka zaidi ya 30 yuko bunge ati haachii kiti cha ubunge kisa vijana wanavuta majibangi.Mzee kama wasira waliokaa bungeni zaidi ya 30 sitetegemei awe na kauli kama hizi.. .kafanya nini Tyson bana mpaka asema kuwa haachii madaraka kisa vijana wanakula mjani ...
Hii kwa wasira naiita ni kutokojiamini, hofu,ubinafsi hana lolote anaweza fanya zaidi ya kukaa bungeni ..yaani jitu kama wasira anaona hamna watu zaidi yake wanaweza kuwakilisha watu bungeni?
Hakuna uhusiano wa umri na madaraka aachie madaraka .kauli ya hofu hizo .. kudadadeki naenda chukua fomu .kuniloga hamuwezi niko fiti .
Term limits (say two terms) za ubunge zitaondoa aina ya Mibunge kama hii........