Wasira na ajira kwa vijana arumeru mashariki

KOMBAJR

JF-Expert Member
Nov 15, 2011
5,827
1,271
katika kampeni leo wakiwa kijiji cha ngarenanyuki wasira amewahaidi vijana wakimchagua sioi april mosi basi ifikapo julai mosi kupitia mfuko wa tasaf vijana wataanzakunufaika.eti hayo ndiyo mambo ya kiutu uzima
Mytake:
1. Tasaf ipo kitambo je hilo la vijana limeanza mwaka huu tu na ni kwa arumeru tu?
2. Inamaana wakishinda cdm hizo pesa hawatapewa vijana?
3. Hivi ahadi za staili ambazo zilitolewa igunga zimetelezwa?mwenye taarifa tujuze
Magamba wameona wamekosa mvuto kwa vijana wanahamua kuwarubuni kwa ahadi za uhongo wizi mtu!wamewashtukia mlikuwa wapi siku zote?
Source:News ITV
 
Back
Top Bottom