Wasira live tbc

Inkognito

Member
Feb 13, 2011
86
108
Waziri Wasira yupo live TBC1 kwenye kipindi cha tuambie akiambatana na Mwanasheria mkuu wa serikali, mada kuu mchakato wa katiba yenye utapiamlo
 
naona anaendeleza udikteta wake kwani anaendelea kutetea mswada Mbovu wa tume ya katiba
 
Werema anaweza kujibu ni kwa nini huo mswaada uliondolewa? Huu utetezi anaoleta TBC kwa nini haukupeleka bungeni ili usiondelewe au hakuwepo bungeni wakati unaondelea?. Na Kwa nini kwenye hiki kipindi cha TBC asiwepo mwakilishi kutoka upande wa pili wa shilingi mfano, Pro. Shivji, Pro. Maina au hata mwanasiasa mwenzao Lissu ili tupate hoja iliyokamilika.

Wassira ana utaalam gani kwenye miswada ya katiba? Hivi ni lini hawa morons watakubali kwamba watanzania wa leo si wakulisha matapishi?
 
Nimependa sana majumuisho yako kama ambavyo ulivyoyaweka hapo kwenye wino mwekundu hapa chini!!!

Waziri Wasira yupo live TBC1 kwenye kipindi cha tuambie akiambatana na Mwanasheria mkuu wa serikali, mada kuu mchakato wa katiba yenye utapiamlo
 
wasira sijamsoma kabisa mswada ulishaondolewa bado anautetea inavoonekana mswada utachakachuliwa na kurudiswa ureure wapo kutuanda wadanganyika
 
Afadhali ya huyu Mzee 'Tyson' Wassira akiacha zake hasira za ajabu ajabu huwa anaweza akapambanua japo jambo.

Je huyu Werema ndio tuseme ni wa nini huko tena kwa HUU MSWADA WENYE UTAPIAMLO badala ya kumchukua Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar mwenye uwezo wa kuacha sheria zenyewe zijieleze kupitia mdomoni mwake badala ya yeye Werema alivyo na kawaida ya kujieleza yeye binafsi badala ya kuzipa nafasi sheria zetu?????

Kama ningalikua na mamlaka huyu Werema ningempeleka kujifunza kazi Mahakama ya Wilaya huko Kifuandui walau kwa kipindi cha miaka miwili na badala yake Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar Mhe Makungu kuchukua nafasi yake katika ofisi ya serikali ya Muungano.

Werema ..., bure kabisa!!!

Werema anaweza kujibu ni kwa nini huo mswaada uliondolewa? Huu utetezi anaoleta TBC kwa nini haukupeleka bungeni ili usiondelewe au hakuwepo bungeni wakati unaondelea?. Na Kwa nini kwenye hiki kipindi cha TBC asiwepo mwakilishi kutoka upande wa pili wa shilingi mfano, Pro. Shivji, Pro. Maina au hata mwanasiasa mwenzao Lissu ili tupate hoja iliyokamilika.

Wassira ana utaalam gani kwenye miswada ya katiba? Hivi ni lini hawa morons watakubali kwamba watanzania wa leo si wakulisha matapishi?
 
Wanaongea kiswahili, lakini hawaeleweki kabisa.

Ni ngumu sana kujustify upuuzi kama ule uliomo kwenye muswaada
 
Kwani hata ingalikua wewe unafikiri aibu ya kugundulika na mabosi wako yaani sisi wananchi KUDESA MUSWADA mtindo wa Copy and Paste kutoka nchi jirani ya Kenya hata wewe ungekua na amani bado na kujiamini katika kile unachokizungumza mbele ya kioo kama hivi sasa????

Hivi hawa wanaumwa nini mbona nyuso zao zimevimbavimba
 
cccm wana watu wawili tu wanaoweza kuwatumia kama wawakilishi wao kwwenye mambo kama haya,wasira na tambwe hiza-ambao wote naona hawana kitu cha kuzungumza
 
wasira sijamsoma kabisa mswada ulishaondolewa bado anautetea inavoonekana mswada utachakachuliwa na kurudiswa ureure wapo kutuanda wadanganyika

tangu lini wassira akaeleweka wandugu? Muswada umeondolewa bungeni maana yake una mapungufu, is that hard to understand?
 
Werema Anasema rais hatarundika wanaccm kwenye tuma, na amesema mf dr Shivji aliwahi kuongoza tume ya ardhi. Kama wanaubavu wame Shirvji na hii nadha watz wanamkubali.
 
Waziri Wasira yupo live TBC1 kwenye kipindi cha tuambie akiambatana na Mwanasheria mkuu wa serikali, mada kuu mchakato wa katiba yenye utapiamlo

Anasema mswada haubadilishi katiba una anda mchakato kuelekea kwenye kupata katiba mpya ivi wasira hajuwi maandalizi ya chakula hayaanzii mezani unasema nini wasira
 
Wanaongea kiswahili, lakini hawaeleweki kabisa.

Ni ngumu sana kujustify upuuzi kama ule uliomo kwenye muswaada

wakuu, nyie ambao mnawasikiliza mtuambie kile wanachozungumza, sisi wengine tuko mbali na hilo ni jambo la muhimu, sio thread inaanzishwa halafu mnaponda tu, wengine hatujui hata nini kinaendelea,

Hata kama ni utumbo hebu mtujulishe nini kinazungumzwa huko..
 
Werema Anasema rais hatarundika wanaccm kwenye tuma, na amesema mf dr Shivji aliwahi kuongoza tume ya ardhi. Kama wanaubavu wame Shirvji na hii nadha watz wanamkubali.

Shivji ni mdini, asije akachomeka takataka kwenye Katiba!
 
Back
Top Bottom