Wasiojulikana walichangia au walidumaza maendeleo ya Taifa letu? Siku hizi wapo wapi?

Resilience

JF-Expert Member
Jan 4, 2023
923
4,308
Ni zipi faida za wasiojulikana kwenye Taifa kama Tanzania hasa upande wa kukuza uchumi?

Nchi kama Tanzania inanufaikaje inapokuwa na watu wasiojulikana? Wakubwa watabaki salama endapo wasiojulikana wameamua kukaa kimya?

Kama wamezihifadhi nafsi za watu wasijulikane walipo, je wameshiba damu au wanatafuna Kwa style nyingine? Haipo siku Hali itabadilika wakapewa mamlaka ya kufanya yasiyojulikana? Watapewa ruhusa? Na Nani?
 
Zidumu fikra za wasiojulikana kwa kuteka, kutesa na kuua, vile vile na kuendeleza maendeleo ya viroba vya wafu!
 
Wapo CCM Mbona? Siku hizi wanajifanya kondoo wema kabisa, utadhani sio wao! Sema CHADEMA hatunaga roho mbaya Wala hatulipi visasi
 
Ni zipi faida za wasiojulikana kwenye Taifa kama Tanzania hasa upande wa kukuza uchumi?

Nchi kama Tanzania inanufaikaje inapokuwa na watu wasiojulikana? Wakubwa watabaki salama endapo wasiojulikana wameamua kukaa kimya?

Kama wamezihifadhi nafsi za watu wasijulikane walipo, je wameshiba damu au wanatafuna Kwa style nyingine? Haipo siku Hali itabadilika wakapewa mamlaka ya kufanya yasiyojulikana? Watapewa ruhusa? Na Nani?
Boss wao yupo Chato underworld
 
wasiojulikana sasa hivi wanaishi kama digidigi kwenye msituni
 
Back
Top Bottom