wasio memba humu

mbongopopo

JF-Expert Member
Jan 24, 2008
1,611
759
naonaga watu walio online namba ya wasio members kubwa kuliko ya walio memba
mara nyingi ni over *10, sasa why wanapewa ruhusa kwenye mengi kama list ya public forum iejaa kila kitu

mie naona waonjeshwe kidogo machache then wajiunge kama sie na sio copy & paste bile kuwa memba

au unasemaje muhusika?
 
Wazo lako ni Zuri lakini kadri siku zinavyokwenda na ndio tunapata member wapya ondosha wasiwasi wanajiunga tu kidogo kidogo kuna Thread zingine wanazikosa hao wasiokuwa wanachama humu ndani. waache wachungulie Kinyemela ipo siku watajiunga kila kitu kinakwenda taratibu tutafika tu na hili gurudumu la maendeleo yetu.
 
Usijidanganye.....Malaria sugu ndo anajiunga kila siku kwa ID tofaui
 
Back
Top Bottom