wasimamimzi wa vituo vya uchaguzi walazimishwa kulala na masunduku ya kupigia kura vituoni arumeru

Wizzo

JF-Expert Member
Nov 28, 2010
723
255
habari za kuaminika kutoka kwa jamaa angu ambaye ni msimamizi wa votuo vya kupigia kura amenambia wamegawiwa masanduku ya kupigia kura usiku huu na wameambiwa ni lazima walale kwenyw vituo vya kupigia kura na masanduku yao
MAY TAKE:
Je ni sawa kwa wasimamizi kulala na masanduku ya kupigia kura kituoni usiku mzima mpaka kesho?
au kuna ratiba ya watu kuwatembelea usiku vituoni kwa ajiri ya kuchakachua?
 
:peep: kamata mwi:peep::peep::peep::peep::peep::peep:zi meeeeeeeeni
 
hamujiamini? kwani hamna mawakala? kazi yao ni pamoja na kuhakikisha masanduku ni matupu kabla ya kura kupigwa.
 
kuna milioni kadha zmendaliwa kwa ajiri ya mawakala so we have to be careful
 
nadhani hakuna tatizo, kwani kabla ya kuanza upigaji wa kura lazima iwe confirmed kuwa mabox ayo hayana kura wala chochote ndani yake, labda wanataka zoezi ilo lianze saa walizoplan kuanza iyo shughuli
 
Naisubiri kwa hamu kesho mida kama hii ambapo CCM itakuwa imeshajipatia kura za kutoshaa kuibuka mshindi na kusukumia zigo la vitaya maneno kwa slaa na zitto

Back
Top Bottom