TIMING
JF-Expert Member
- Apr 12, 2008
- 24,917
- 11,315
You are very right MTM kwani hii inaondoa kabisa motisha kwa watu kusoma kwa kuelimika na kuleta maendeleo badala yake watu wanashindana kwa vyeti na majina ambayo haya reflect uhalisia wa elimu. Inasababisha watu kupenda kupanda haraka haraka kwenye ecademics hata kama hakuna merits. Hii hali ni kila mhali hadi vyuo vikuu inasikitisha sana baadhi ya wanaojiita profesors ukiangalia walivyo ufikia utatamani kulia no wonder hakuna maendeleo bali malumbano tu yasiyoisha.
Kuna uhaba mkubwa wa specialists kwenye idaraza na faculties za vyuo vikuu vyetu na hakuna vetting kabisa watu wengi wamesomea fani zinazofanana ambazo ni rahisi kupata zile ngumu hakuna anayeenda kusomea..Inashangaza hata madaktari wameanza kuchakachua elimu zao utaona wanaenda kusoma vitu ambavyo havi add value kwenye taaluma zao (Japo wao si sana lakini mwanzo wa ngoma ni lele). Tujiangalie sana tunakoenda tutabakia kuwa watumwa tu simply hatuna think tank na baadaye ikijadhihirika basi ndiyo hivyo tutaanza kualika expatriates from abroad.
Lakini pia tukumbuke elimu imerahisishwa sana na ukuaji wa technology so siyo lazima wote wanaosoma kwa muda mfupi na kwa ditance learning ni vihiyo bali hii trend ya politicianas na technochrats kutokuwa honest kwenye academic ikizoeleka baadaye ita develop kuwa culture so ni bora kuwe na adhabu kali kwa watakao onekana kukosa maadili ili kujenga socila capital.
Thanks Mkuu....
Kinachosikitisha zaidi ni kwamba hao national guardians ndio wanaoongoza mbio za uongo na kujibandika kila uwezo hapa duniani... siku hizi profesa vulata, profesa tibaijuka, profesa JK na hata profesa mwanjelwa vinawekwa kwenye pot moja tu.
it has become a nation bora liende