Wasifu: Huyu ndiye Dkt. Bashiru Ally

CV yake ndogo mnoo ndiyo maana hata weledi kwake sifuri, exposure pia iko chini sana na hajawai shika nafasi nyeti tofauti na hiyo ya ukatibu mkuu CCM, hapa sasa utumishi wa umma umeingia shimoni rasmi maana yeye na JPM yaleyale...
 
Kwanini alichelewa sana kuanza darasa la kwanza? Miaka 12! At this age mimi ndiyo nilikuwa namaliza darasa la 7.

Jane,
Hata mimi nimeshangaa sana, pia form one aliingia akiwa na umri wa miaka 19! Hii ni kwa mujibu wa "CV- Wasifu" .

Undergraduate umri miaka 30 hivyo ameanza kazi rasmi akiwa na umri miaka 35 ! Kama wasifu usemavyo kama siyo akiwa na umri wa miaka 40 ktk uhalisia. Na hapa ameanzia ngazi ya chini ktk utumishi wa umma chuoni UDSM.
 
Zamani tulichelewa kuanza shule,mimi nilianza darasa la kwanza na miaka 10.Wazee waliamini kuwa mtoto akimaliza darasa la saba anatakiwa aweze kujiajiri,kuomba kazi viwandani nk
Kwanini alichelewa sana kuanza darasa la kwanza? Miaka 12! At this age mimi ndiyo nilikuwa namaliza darasa la 7.
 
Hakika
Sababu ya kuchelewa kuanza shule inawezekana mazingira ya Kijijini kwao,labda alikuwa anatakiwa kuchunga ng'ombe kwanza.

Kuna msaidizi mmoja wa Nyerere alienda Bwiru kuanza kidato cha kwanza akiwa nyumbani kwao kaacha mke.
Zamani ilikuwa kawaida.
 
Back
Top Bottom