BLUE BALAA
JF-Expert Member
- Nov 30, 2010
- 1,222
- 764
Hivi kwa nini ukitoka na demu outing wanapenda kunywa drinks za bei ghali bila hata kujua kama una hela au la. Utakuta anajishebedua eti anataka kunywa cinzano, martin, redbull, amarula. Cha ajabu wakiwa wenyewe wanagonga konyagi, tusker, kilimanjaro.