Wasichana wa vyuo hujiuza ili kupata namna ya Kuishi vyuoni. HATARI

CHIETH

Senior Member
Aug 15, 2011
179
67
Baada ya Uchunguzi nilioufanya kwenye miji mbali mbali hapa nchini yenye vyuo vikuu nimegundua kuwa wasichana walio wengi wa vyuo hivyo hujiuza ili waweze kupata namna ya kujikimu. Mwanza, Chuo kikuu cha SAUT wasichana wengi waliokosa mkopo wanaishi maisha magumu sana na hatimaye huamua kwenda kujiuza mjini Usiku ili waweze kupata pesa ya kujikimu na hatimaye kulipa karo. Wengi wao huanzia kwenye mitandao kama Badoo.com, Twoo.com, Hi5.com, Tagged.com na fb. Wanaweka picha zao zinazoonyesha sura zao na maumbile zao ili waweze kuvutia wanaume na hatimaye kuanza kuchat na wanaume hao na kuwapa namba za simu. Wengine huenda kwenye hotel kubwa Kama GOLD CREST HOTEL, MWANZA HOTEL, JB BELMONTE, VICTORIA PALACE na RYANS BAY HOTEL. Afikapo hapo huagiza hata soda halafu huaanza kujifanya anasoma. Mwanaume yeyote atakapojikoki, msichana huyo hujilainisha na hatimaye mwanaume kutanganza dau na hatimaye huondoka naye. Wasichana hawa hujipendezesha kweli kweli. Usiku wanabadilisha nguo zao na kuvaa siruali fupi zinaonyesha maeneo yao ya siri halafu hujipitisha kwenye club za hoteli hizo kama GOLD CREST NA MWANZA Hotel. Hujiuza kuanzia dola 50-100 kwa wazungu na tshs 50000-100000 kwa wabongo.
Cha kushangaza wasichana hawa wanawapenzi wao wanaodai wanawependa. Kibaya zaidi matumizi ya condom pia wanadai eti huwa hawatumii sana hasa pale ambapo dau ni kubwa. Wasichana hawa pia hudai kuwa wananyonya uume wa wateja wao, na wakati huo huo wanakiss na wapenzi wao wa kila siku.
Wanadai kuwa hawajutii maisha haya maana ni hali halisi ya maisha ndo imewafanya wawe hivi.
Ombi Langu kwa serikali ni kuangalia namna ya kuwasaidia wasichana wanaosoma fani kama BPRM na Bsociology kwenye vyuo hivi ili waachane na tabia hatarishi hizi. Pia elimu ya Ukimwi nao ungefundisha kwenye vyuo hivi iliwaweze kujilinda.
Mzazi au ndugu yeyote mwenye binti yake kwenye chuo hiki jitahidi kuwaasa mabinti zenu waachane na tabia au basi wawe wanachunguza afya zao na Kuchukua tahadhari.
 
CHIETH
Mbaya zaidi hata wale ambao wana pesa wamo katika mkumbo huo.
+
 
Last edited by a moderator:

mi sioni tatizo hapa.

we unadhani ukija hapa JF kulalamika ndo wataacha?

wanaojiuza ni mpaka wake za watu besti! hapa ofisini kwetu wake za watu wanatafuta pesa za matumizi na ada za watoto maana waume zao ndo vile tena.

sasa kama mtu anahitaji pesa ya msosi na mengineyo chuoni na kaboyfriend kenyewe ni classmate tu huku home mambo magumu, mkopo wa chuo anapata asilimia 20. Unadhani atafanya nini?

na kwa uchumi wetu si kama ulaya walau mtu anaweza pata kazi hata ya kubeba box, ama baby sitting lakini sio bongo.

sistetei uchangudoa wala nini, ila najaribu kujiweka kwenye situation ya wadada hadi wake za watu wanaojikuta kwenye hii condition.
 
mie wala sina problem nao....i cnt judge them becoz to me anyone engaging in premarital sex for whatever reason ni malaya.

sweetie upo jamani! nimekumissije halafu naona kama vile umeokoka maana hayo maneno hayakufananii nilitegemea kuona neno kama gegedwa lakini naona umekua kivingine.

lo hongera sana!
 
Hapa mi napata maswali mengi tu!
Hivi wavulana wao wote hupata mkopo 100%? Wavulana wao wote hutoka familia bora? Km hali ni sawa, sasa wavulana wao huenda kuuza tigo? Unless the answers to those questions are equally YESS, otherwise ni katabia kauchangudoa tu miongoni mwa wadada!
 
Umalaya upo toka kwenye damu.
So na mwenye lengo huwa anavumilia sio nikua kakosa hela nikua zile anazo zitaka ni za tamaa za mwili misifa aonekane naye yumo kwa waliomo.
Kwani umo viuoni si wapo wasio na uwezo wakifedha wanaojua kuvumilia maisha na wanaweza tu.
Hao wanao fikia mpaka kujiuza ina changiwa na vitu ivi apa.
Taamaa.
Uu malaya.
Ivo ndo vinavyo pelekea yote.
Usome paka chuo kikuu uwezo wako wa kielimu upo juu sasa aya uyaoni kama ni upuzi au ujinga kwako.

But ndo life ilo ndomaana.
Kila m2 kazaliwa pekee ake na kufaa ni pekee ake .pia.
Am done.?
 
sweetie upo jamani! nimekumissije halafu naona kama vile umeokoka maana hayo maneno hayakufananii nilitegemea kuona neno kama gegedwa lakini naona umekua kivingine.

lo hongera sana!

hahaha kugegedana kuna raha sana besty...nipo
 
dah aisee hii ni kweli kabisa mkuu...mimi kuna mtoto namfaham yuko fresh anasoma mzumbe ya mbeya,,,,yeye huwa anapatikana kw njia ya instagram ila ni msiri sana...
 
Back
Top Bottom