Wasichana wa kibongo ni warembo kuliko wa kampala?

h hahahaa,hii mada ikiisha kuna mdau atakuja na thread ya majamaa wazuri east Africa!lol
 
Hivi boss, urembo upo kwenye ukabila? nataka kujua maana point yako ya kuoana oana kuchanaganya uzazi wa kikabila nchini ni sababu nzuri ila eeh, hebu nipe hints kidogo kama kabila lipi na lipi wakiktuna wanatoa kitu cha ukweli. Nataka kujua.
 
DUH.
kisayansi watu wanakuwa
wazuri zaidi,wakichanganya rangi na makabila
tofauti..
ni genetically zaidi,
sijui nikufafanulie vipi uelewe.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom