Wasichana wa kibongo ni warembo kuliko wa kampala?

mtuwatu

Member
Oct 21, 2009
95
2
Mfunyukuzi ameweka hizo picha za Ug nimekumbuka hili swali lilikua linanisumbua sana - hasa Tz vs Ug wasichana gani ni warembo sana kuliko wa wenzao? Maana kiukweli bongo siku hizi inawaka kila kona utaona uumbaji wa mungu tofauti hadi unadiriki kusema au mungu kafungu kiwanda kipya cha watu nini afu ukiend kampala kazi ya mungu inatisha pale sasa jamaani nisaidie mwanakwenu !!! boss upo ??
 
hilo linaeleweka.....
wasichana wa Tz ni wazuri kuliko wa Uganda na Kenya....
sababu kuu ni wingi wa makabila na mchanganyiko katika kuzaliana..
hii ni faida ya kupiga vita ukabila,tumezalina na kuchanganya damu
mbalimbali,matokeo yake ndo hivyo,
wasichana wetu ni wazuri kupita maelezo....
 
Hii maneno ya "wasichana wa wapi wako hivi kuliko wa kule" huwa inakuwa imefanyiwa utafiti gani hadi?
Mi sijatembea jamaeni, embu nambieni kama kuna nchi za wasichana wabaya!
 
Umeona maelezo ya boss anavyotoa sababu za makabila? kwani Ug hawana makabila?
hawana mchanganyiko na wanyarwanda?
 
Umeona maelezo ya boss anavyotoa sababu za makabila? kwani Ug hawana makabila?
hawana mchanganyiko na wanyarwanda?

nimekwambia wingi wa makabila
na kuchanganya damu
intermarriages,,,,,,,,,
huko kenya na uganda watu wengi wana oa
ndani ya makabila yao kulinganisha na tanzania.....
halafu sisi tuna makabila zaidi ya 300,uganda hayafiki
50,kenya hayafiki 150.
 
nimekwambia wingi wa makabila
na kuchanganya damu
intermarriages,,,,,,,,,
huko kenya na uganda watu wengi wana oa
ndani ya makabila yao kulinganisha na tanzania.....
halafu sisi tuna makabila zaidi ya 300,uganda hayafiki
50,kenya hayafiki 150.
Boss, tuna makabila 300 au 126! Au mengine ni unofficial?
 
Umeona maelezo ya boss anavyotoa sababu za makabila? kwani Ug hawana makabila?
hawana mchanganyiko na wanyarwanda?

Mkuu nadhani hujamsoma vizuri the Boss.
Anamaanisha kwa sababu bongo makabikla ni mengi sana kuliko Ug na Kenya ndo maana posibility ya kutoa vizazi vyenye shepu na mwonekano tofauti tofauti ni mkubwa.
yaani bongo utakutana na kila type ya mabinti.
 
Wasomali, wanyarwanda,warundi,waethiopia na wanyankole wa uganda moto wa kuotea mbali!
Uje kwa wasichana wa ki tswana na kizulu we acha tu!!
Wanasema tembea uone mengi,unaweza kusema wewe tajiri sababu una kajumba na ka gari kumbe kuna watu wana mahekalu na magorofa!
 
YES, The Boss......! Hebu assume binti mchaga wa kibosho, mchanganyiko na mmasai, mwenye asili ya kiiraq; yaani wambulu wa Karatu! Atakuwa na ngozi laini ya kichaga, urefu wa kimasai, na rangi itakuwa ya mmbulu. Utanyooka.
 
Jamani, nimekaa Kenya kwa muda wa kutosha na katika study tours za hapa chuoni tumekuwa tukienda Ug na huko nyumbani. Nimewaona mabinti wa vyuo kwa nchi hizi tatu walau kwa idadi ya kutosha. Conclusion yangu ni kuwa. DADA ZETU WA TZ, wanafunika kwa uzuri. Nadhani nchi ya mwisho kwa kuwa na kinadada wazuri ni kenya. Jamani huku mvuto ni zero. But kumbuka there is no law which has got no exception. Wapo Wakamba wana mvuto bt Tz Funiko. Niliwahi kwenda mlimani, nikapita Posta, badae A-town na SAUT Mza. Bwana kwanini nisiseme tunafunika? Its good to appreciate God's creation!
 
Hii maneno ya "wasichana wa wapi wako hivi kuliko wa kule" huwa inakuwa imefanyiwa utafiti gani hadi?
Mi sijatembea jamaeni, embu nambieni kama kuna nchi za wasichana wabaya![/QUOTE]

Ndio! Kenya, Zambia na Malawi ndizo zinaongoza kwa ukanda huu wa Afrika Mashariki na Kati!
 
madem wa kiganda wana mishepu balaa,lakini sura unaweza kutoka baruti ukiwaona,bongo tunafunika kwa madem east afrika yote na jirani zake
 
nimekwambia wingi wa makabila
na kuchanganya damu
intermarriages,,,,,,,,,
huko kenya na uganda watu wengi wana oa
ndani ya makabila yao kulinganisha na tanzania.....
halafu sisi tuna makabila zaidi ya 300,uganda hayafiki
50,kenya hayafiki 150.

Aisee nilikuwa najiuliza sabau a wenzetu kuwa na vipoly wengi sana hasa Naii; unaweza ukakutana na personal assistant wa mtu kwenye shirika kubwa ukakimbia; na kitakachokukimbiza ni kipoly! Ah Wabongo tuko bomba we acha tu!:D
 
Umeona maelezo ya boss anavyotoa sababu za makabila? kwani Ug hawana makabila?
hawana mchanganyiko na wanyarwanda?

Jamani wanyarwanda hasa watutsi ni mironjo tu labda kama mnaangali dental formula tu; istoshe ni nadra kukuta wenzetu wana mchanganyiko kama wetu; Mfano mm ni Mchanganyiko wa Kinyakyusa na Kichaga! wife ni product ya kinyiramba na Kizigua ambayo ina uzaramo kwa upande wa Babu yake na Usukuma kwa Bibi yake mzaa Baba; sasa ona product yetu hapo kwenye Avatar!

Mwalimu Nyerere Mungu akuweke pema na mahali pa juu sana huko Mbinguni!:D
 
hilo linaeleweka.....
wasichana wa Tz ni wazuri kuliko wa Uganda na Kenya....
sababu kuu ni wingi wa makabila na mchanganyiko katika kuzaliana..
hii ni faida ya kupiga vita ukabila,tumezalina na kuchanganya damu
mbalimbali,matokeo yake ndo hivyo,
wasichana wetu ni wazuri kupita maelezo....

Jana tu tulikuwa tunazungumza issue hii na best wangu ambaye ni Mnyarwanda. Hajawahi kutia mguu Bongo lakini Wabongo aliowaona wengi aliwaona Kenya, Rwanda na majuu katika nchi mbali mbali naye hitimisho lake ni kwamba Wanawake wa Kitanzania wengi ni wazuri sana, msisahau kwamba Wanyarwanda Muumba aliwapa upendeleo fulani katika kuwaumba maana ukikutana na wazuri basi ni wazuri kweli kuanzia utosini hadi vidole vya miguuni ;) na wengi wameumbika. Hili la intemarriages nchini mwetu limesaidia sana kuwa na Visura vya kukata na shoka. Visura wa Kiganda mhhhhh! sijapata bahati ya kuwaona visura wa kutoka huko, Visura wa Kenya wapo wachache lakini huwezi kulinganisha na kwetu, msiseme najifagilia lakini huo ndiyo ukweli wa mambo :)

[ame="http://www.youtube.com/watch?v=-BoGA5sPRrg"]YouTube- Beautiful U R- Deborah Cox[/ame]
 
jamani tuache masiara bongo tunatisha nimetembea east africa yote lakini apa bongo soo
ebu kutana na mix moja tu kichaga na kinyakyusa,maji ya kunde si maji ya kunde,urefu si urefu,unene si unene,bwana acheni jamani
 
Wabongo dada zetu wazuri sana,Kenya wakamba na baadhi ya wakikuyu ndo wanajitahidi ,uganda kuna wanyankole Rwanda ndo wapinzani lakini still dada zetu wanachapa bakora

Ila kwa kumalizia,dada zetu waache uvivu na mashauzi yasiyo na maana,ingawa si wote
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom